Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa.

Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera kwani ni Bonge la Kocha na nauomba Uongozi wa Simba SC upesi sana umuongezee Mkataba tena ikiwezekana ili atufanyie makubwa apewe Mkataba mrefu wa kati ya Miaka Mitatu au Mitano.
Kinachosajili ni pesa sio maneno matupu
 
Tatizo atafika huo msimu ujao kwa figisu zetu hapa bongo na kutaka miujiza ya ghafla
 
Yani leo unanikoshaa unaandika madini matupu..
Huo ndo ukweli anaepinga ni utopwonyo..
Wanataka tumfukuze
 
Ambieni viongozi wenu waache ugai gai,hasa hasa lile lenyekiti lenu fisadi lile,simba sio ya kusajili mhilu na kapama,nakataa
 
KUHUSU SUALA LA USAJILI.

NASHAURI YAFUATAYO.

1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.

2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama

3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.

I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.

4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,

MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION

UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
 
Kocha anaonyesha anajua,ila madunduka mkae mtulie Sasa na Robatinho maana tangu 2015 to date inawezekana wamepita makocha zaidi ya kumi,si afya Kwa timu
 
KUHUSU SUALA LA USAJILI.

NASHAURI YAFUATAYO.

1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.

2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama

3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.

I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.

4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,

MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION

UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
"Timu yetu tunaiendesha Kwa hasara"

Mwamedi
 
Subirini kwanza muone nini kitakachomkuta Wydad ndipo mje mjipime kama mnaweza kuvuka nusu fainali.
 
Popoma una zungumzoa fainali gani popoma Hadi Samia atoke madarakani ndio yanga ataachia ubingwa na
 
Back
Top Bottom