mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Hayo majembe si yalianzia CAFCL ? Sasa ilikuwaje tena yakaingia losers cup?Subiri Jumapili ushuhudie majembe ya kocha NABI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo majembe si yalianzia CAFCL ? Sasa ilikuwaje tena yakaingia losers cup?Subiri Jumapili ushuhudie majembe ya kocha NABI
Sawa Mpumbavu Mwenzangu.Mpumbavu ni yule anayewqfanya watu wengine wamuone bora kuliko ubora aliokuwa nao. Wewe ni mmojawapo wa wapumbavu???
Kinachosajili ni pesa sio maneno matupuKwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa.
Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera kwani ni Bonge la Kocha na nauomba Uongozi wa Simba SC upesi sana umuongezee Mkataba tena ikiwezekana ili atufanyie makubwa apewe Mkataba mrefu wa kati ya Miaka Mitatu au Mitano.
Tatizo atafika huo msimu ujao kwa figisu zetu hapa bongo na kutaka miujiza ya ghaflaKwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa.
Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera kwani ni Bonge la Kocha na nauomba Uongozi wa Simba SC upesi sana umuongezee Mkataba tena ikiwezekana ili atufanyie makubwa apewe Mkataba mrefu wa kati ya Miaka Mitatu au Mitano.
Luza kapu hii hii mliyoroga hadi mkapigwa faini kwa uchawi, au nyingine?Hayo majembe si yalianzia CAFCL ? Sasa ilikuwaje tena yakaingia losers cup?
Hakuna fainali ya nbc.Fainali ya NBC labda, niko hapa mje mnibonde.
Mzee sawadogo ni mashine sana,hana fitness.yule jamaa anaujua sana tuShida iko kwa vinyamkera vya 10% vitaleta sampuli ya akina sawadogo tu.
Hilo swali wanayanga huwa wanaliona kama lile swali la Mungu alitokea wapi???hakunaga jibuHayo majembe si yalianzia CAFCL ? Sasa ilikuwaje tena yakaingia losers cup?
"Timu yetu tunaiendesha Kwa hasara"KUHUSU SUALA LA USAJILI.
NASHAURI YAFUATAYO.
1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.
2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama
3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.
I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.
4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,
MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION
UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
Khee yani ww unawaza nini sijuiPopoma una zungumzoa fainali gani popoma Hadi Samia atoke madarakani ndio yanga ataachia ubingwa na
Eeh? Uwepo wake madarakani unahusiana vipi na ubingwa wa Yanga?Popoma una zungumzoa fainali gani popoma Hadi Samia atoke madarakani ndio yanga ataachia ubingwa na