Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

Nijuavyo mimi simba haijafika nusu fainali.Hiz ni mechi za mzunguko wa robo kuitafuta Nusu, au nakosea kuelewa ?
 
kabisa ondoa wachezaji waliozeeka
 
Kabisa..
Kwa MKAPA ingeweza kumalizam mechi..
Winbacks, kiungo mnyumbulifu and skilled.
Wing attacker ( left foot and fast)
 
Subiri Jumapili ushuhudie majembe ya kocha NABI
 
Pole sana mkuu ....ndio mpira
Pole ya nini tena? Simba SC Jana haijafungwa bali imetolewa kwa Mikwaju ya Penati.

Kufungwa ni dakika 90 hadi 120 na Kutolewa ni kwa ama Mikwaju ya Penati au kwa Uwiano ( aggregate ) ya Magoli.

Punguzeni Upumbavu na Ushamba.
 
Pole ya nini tena? Simba SC Jana haijafungwa bali imetolewa kwa Mikwaju ya Penati.

Kufungwa ni dakika 90 hadi 120 na Kutolewa ni kwa ama Mikwaju ya Penati au kwa Uwiano ( aggregate ) ya Magoli.

Punguzeni Upumbavu na Ushamba.
Simba kapigwa 1 bila ikaja mikwaju akalaliwa pia ..povu ruksa ...ndio hivyo muwahi lipuli na ihefu ...
 
Mimi ni Yanga na kwa hili nakubali ni ukweli mtupu
 
Kufa ni kufa tu, mmeumsliza mwendo, Imani yenu ya qota final mmeilinda. Jaribu tena mwakani.
Majibu ya Kipumbavu kutoka kwa Wapumbavu kama hili niliyategemea sana tu hivyo sijashangaa.
 
Alicheza namba ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…