Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
sasa mzee mnataka mshinde kila siku yan mshasahau na mafanikiio ya club bingwa leo hii unasema afaiPaul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.Unashaurije mkuu!!
Sijasema hafai bali ana kasoro zake. Hata magoli mengi tuliyofungwa Klabu bingwa ni kutokana na upangaji ovyo na safu ya ulinzi inavyocheza ovyo.sasa mzee mnataka mshinde kila siku yan mshasahau na mafanikiio ya club bingwa leo hii unasema afai
viporo 11 only in tanzaniaMechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania
Hauwezi kumraumu kocha Kwa hili!!wachezaji lazima wawe nabuchovu.. fatigue!!wachezaji wamecheza mexhi nyingi mfulilizo nadhani mashabiki wa simba tuwetayari Kwa lolote litakalo tokea..ratiba sio rafiki hata kidogo Kwa simba!!Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.
Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!
Viporo ni uzembe wa Simba kushindwa kulalamika kwamba wanawekewa viporo vingi na TFF dhaifu isiyojua kwamba wachezaji ni binadamu na siyo Roboti.Mechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania
Kwa nini anaelekeza wachezaji wapasiane hadi ndani ya 18 ya adui?ratiba sio rafiki hata kidogo Kwa simba!!
Wamebanwa aisee .msiidharau Kagera kiasi hicho sio mara ya Kwanza kuwatwangaPaul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Sizungumzii tu mechi ya leo bali ni mwendelezo wa kitu anachotaka Kocha kukipandikiza ndani ya Simba. Simba hawapigi mashuti.Wamebanwa aisee .msiidharau Kagera kiasi hicho sio mara ya Kwanza kuwatwanga
Kuna ukweli fulani ,pamoja na Fanikio Simba iliyoyapta , m binafsi naona kwa wing n juhudi za wachezaji, ukitaka kujua mchango wa kocha n mdogo.angalia game zote za away vipigo vya kutosha, kwa kocha alie na skills za kutosha kazma abadili mbinu lakn umepigwa game ya kwanza tano, ya pili tano, ya tatu karb lakn huon changes ya uchezaji same style apa kun shida kidogo kwa kocha wetu japo ana mazuri yake pia.Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Naona timu inacheza vile vile isipokuwa inacheza kwa bidii ikiwa Dar es salaam!!Ngoja tuone
Zile siku kumi za kujiandaa na mechi moja umezisahau?Mechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania
Haya ndio matatizo ya kuja na matokeo yenu mfukoni.Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
No. Mimi tangu mwanzo sikumkubali Uchebe na nilipata ahueni pale Kitambi alipokuja.Haya ndio matatizo ya kuja na matokeo yenu mfukoni.
Naona timu inacheza vile vile isipokuwa inacheza kwa bidii ikiwa Dar es salaam!!