Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.