Kocha wa Simba simwelewi

Kocha wa Simba simwelewi

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.

Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.

Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.

Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.

Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
 
sasa mzee mnataka mshinde kila siku yan mshasahau na mafanikiio ya club bingwa leo hii unasema afai
 
Unashaurije mkuu!!
Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.

Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!
 
sasa mzee mnataka mshinde kila siku yan mshasahau na mafanikiio ya club bingwa leo hii unasema afai
Sijasema hafai bali ana kasoro zake. Hata magoli mengi tuliyofungwa Klabu bingwa ni kutokana na upangaji ovyo na safu ya ulinzi inavyocheza ovyo.
 
Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.

Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!
Hauwezi kumraumu kocha Kwa hili!!wachezaji lazima wawe nabuchovu.. fatigue!!wachezaji wamecheza mexhi nyingi mfulilizo nadhani mashabiki wa simba tuwetayari Kwa lolote litakalo tokea..ratiba sio rafiki hata kidogo Kwa simba!!
 
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.

Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.

Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.

Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.

Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Wamebanwa aisee .msiidharau Kagera kiasi hicho sio mara ya Kwanza kuwatwanga
 
Sizungumzii tu mechi ya leo bali ni mwendelezo wa kitu anachotaka Kocha kukipandikiza ndani ya Simba. Simba hawapigi mashuti.

Na TP Mazembe Bocco aliwekwa ushambuliaji peke yake kama yatima.
 
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.

Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.

Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.

Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.

Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Kuna ukweli fulani ,pamoja na Fanikio Simba iliyoyapta , m binafsi naona kwa wing n juhudi za wachezaji, ukitaka kujua mchango wa kocha n mdogo.angalia game zote za away vipigo vya kutosha, kwa kocha alie na skills za kutosha kazma abadili mbinu lakn umepigwa game ya kwanza tano, ya pili tano, ya tatu karb lakn huon changes ya uchezaji same style apa kun shida kidogo kwa kocha wetu japo ana mazuri yake pia.

Mimi So mtaalam sana wa mpira lakn kwa game ya leo vs Kagera, naona shida inaanzia kati, yan midfielders,kwa mawazo yangu naona siyo vyema kuwanzisha Kotei na Mkude kati wote k asili na defensive midfielders hakuna wa kupandisha timu Ukiona mkude anae cheza namba nane yupo slow af uwezo wake wa kudrive kwenda mbali so mzuri sana,nadhan ilitakiwa awe anaanza mmoja either Kotei au Mkude then namba nane acheze Mzamiru au mwngne.
Pili Beki wetu pendwa Zana, binafsi sjawai kumuona kama n bek mzuri zaidi ya kupenda kushambulia na kuchelewa kurudi nyuma lakn pia si mkabaji mzr sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.

Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.

Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.

Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.

Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Haya ndio matatizo ya kuja na matokeo yenu mfukoni.
 
Naona timu inacheza vile vile isipokuwa inacheza kwa bidii ikiwa Dar es salaam!!

Kamanda uvumilivu unatakiwa. Mpira ni dk 90!Mnaweza mkabahatisha hata sare! Kwa Kagera Sugar mara nyingi huwa hamfurukuti hata kama kocha angepanga kikosi cha aina gani.

Sisi mashabiki wa timu ya wananchi tunawaombea mfungwe tu maana hakuna namna ili mwisho wa siku tuchukue ubingwa wetu.
 
Tate Mkuu ukitaka kujua tatizo si wachezaji bali ni mfumo wa uchezaji unaopendwa na kocha. angalia wanavyocheza sasa. Kila wakati utaona kipindi cha kwanza ni kama anajaribu aina fulani ya uchezaji isiyoeleweka kwa wachezaji wa Simba.
 
Back
Top Bottom