permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Huwa anafikaga wapi na hizo "finali"?Ni rahisi kwa Yanga ila sio Simba, mechi za Mnyama kama fainali yaan noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anafikaga wapi na hizo "finali"?Ni rahisi kwa Yanga ila sio Simba, mechi za Mnyama kama fainali yaan noma
Hapana huu ni ukweli nusu.Ndio ukweli wenyewe.
KAZI ni kipimo cha UTU
Vipi calculator za rankings za klabu za CAF zimeishaje?Mbona hamna follow up ya kile kichaka?Si kuna kichaka kilikuwa kifekwe?Hii ishu niliona siku moja wanaiongelea watu wa Africa Kusini. Hasa baada ya Nabi kufanya vizuri akiwa Yanga wakati sehemu zingine akiwa amefeli na kuonekana kufeli Kaizer Chiefs, wakatoka kwa Nabi wakaja kwa kocha Fadlu ambaye anaonekana kwenye ligi anaongoza ligi wakati hakuwahi kufanya vizuri popote pale na wakamalizia na kocha Saed
Kwani Yanga kashinda? Uzi si uliandikwa endapo Yanga atashindaVipi calculator za rankings za klabu za CAF zimeishaje?Mbona hamna follow up ya kile kichaka?Si kuna kichaka kilikuwa kifekwe?
Tulikuambia ukizifunga timu za Tanzania sio kwa ufundi wako, unasaidiwa kulainishiwa na gsm. Simba anapata ushindani halisi sio yanga ananunua kila mechi. Hii ndio picha halisiSead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki wView attachment 3206228
Hapo kakosea aiseeHuyu jamaa miyeyusho sana
Yes kwenye hili analeta ubabaishaji wa kiswahili.Hapo kakosea aisee
Yeye ndo mdhaifu asiyekuwa na mbinu za kibingwa! naive🚮🚮Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki wView attachment 3206228