Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi?

Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya shikhalo na wachezaji wa mikia? hapa wanayanga tumepigwa hapa.

nabi.JPG
 
Dooooh kimeumana! Utopolo sijui kama watamwacha salama huyu jamaa.
 
Muda si mrefu utasikia kafungashiwa virago vyake
 
Tupostie na mashabiki wa yanga wanaolalamika.. Isije ikawa mbu mbu mbu mnatengeneza propaganda zenu..
 
Baada ya mechi ya kesho asihangaike kwenda kambini aongoze moja kwa moja airport mabegi atayakuta huko huko

Kesho ni siku fupi sana namshauri angeanza leo kuwaaga ndugu na jamaa kabisa kwa upepo navyo uona sioni kama atakua na chance ya kuwaaga hiyo kesho
 
Hapa kaongelea taswira nzuri ya mpira wa Tanzania ni maneno mazuri, unaona hata wale wachezaji wa zamani wa Man u au Arsenal linapokuwa suala la kufanya vizuri team kama City na Chelsea wanasema ni taswira nzuri ya EPL. Hajasema kitu kibaya.
 
kwa simba kila goti litapigwa sasa nyoka wametoka pangoni ,kumbe mnajua pira biyani linapopatikana siyo?
 
Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi?
Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya shikhalo na wachezaji wa mikia? hapa wanayanga tumepigwa hapa
View attachment 1776328
 
unakubaliana na hiyo kauli shemeji shadeeya? kumbe kule champions league huwa tunailetea nchi yetu taswira safi? sikujua aiseee
Kwangu Shem naiona ni kauli ya kawaida ya kiuanamichezo.

Tatizo sisi mashabiki hasa wa hizi timu mbili tumekua katika makuzi ya kuwa negative hivyo hata sishangai wewe kumshangaa huyo kocha kiasi hicho. 😀
 
Back
Top Bottom