Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

saa 19.30 usiku leo mwarabu wa Tunisia ataisifia sana simba baada ya kipigo takatifu cha 5-0 atsema simba ni team bora sana sasa baada ya maneno hayo naomba utopolo niwaone tena mnakuja kumsifia kwamba ni mwanamichezo
 
Huyu kocha hata siku anatambulishwa aliitaja Simba kwa makosa badala ya Yanga


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimerudia hii clip mara 6, huyu hajawajua utopoz vizuri huyu, vyura wanatakiwa kuwapa liheso makochawao wapya maana huko wanakotoka wanaijua SIMBA tu sasa watawaoneaburetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Back
Top Bottom