Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

Kwangu Shem naiona ni kauli ya kawaida ya kiuanamichezo.

Tatizo sisi mashabiki hasa wa hizi timu mbili tumekua katika makuzi ya kuwa negative hivyo hata sishangai wewe kumshangaa huyo kocha kiasi hicho. 😀
labda kesho atoe draw au ashinde akipigwa kipigo cha mbwa koko ajue hana kazi
 
sa
Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi?
Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya shikhalo na wachezaji wa mikia? hapa wanayanga tumepigwa hapa
View attachment 1776328
safi sana
 
Wabongo weengi hatujui soka, na wala hatufatilii..

Hili ni jambo la kawaida saana. Katika maswali mtu akiulizwa kuhusu mpinzani wake lazima aoneshe heshimi hilo moja, kisha azungumze ukweli..

Sasa hii kauli kaonesha heshima kwa mpinzani na pia ndio ina ukweli pia ndani yake..
 
wacha weeeeee
 
Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi?

Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya shikhalo na wachezaji wa mikia? hapa wanayanga tumepigwa hapa.

Mleta mada ni boga
 
tokea siku ya kwanza ya utambulisho simba ipo kichwani wake , au alijua anakuja kufundisha timu yenye ubora kama simba
 
Mbona mimi haijanitibua?
Imewatibua wanayanga wengi maana kawaida Nugaz,Bumbuli na hata yule Mwakalebela huwaga hawasemi hilo bali wao hudai simba hawana timu nzuri wanabebwa na tff na marefa kwahiyo hata leo mashabiki walitegemea kusikia kauli kama hizo toka kwa kocha wao na sio kuongea ukweli mchunguu kama alivyofanya
 
Hiv we nyau kukaa unaanzisha threads za kuiponda yanga ndo unadhani hutafungwa hyo kesho?
 
ukiusoma huu uzi, kuna mashabiki wa upande fulani unaona kabisa ni weupe kabisa kuhusu mambo ya mpira yanavyoenda... hata ukiwaambia sometimes kunakuwaga na "mind games" hawatakuelewa kabisa
 
Wakiongozwa na msemaji wao Manyara.
 
Kwangu Shem naiona ni kauli ya kawaida ya kiuanamichezo.

Tatizo sisi mashabiki hasa wa hizi timu mbili tumekua katika makuzi ya kuwa negative hivyo hata sishangai wewe kumshangaa huyo kocha kiasi hicho. 😀
Na atakaekiuka hio kauli atanyongwa
 
Back
Top Bottom