nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
-
- #21
labda kesho atoe draw au ashinde akipigwa kipigo cha mbwa koko ajue hana kaziKwangu Shem naiona ni kauli ya kawaida ya kiuanamichezo.
Tatizo sisi mashabiki hasa wa hizi timu mbili tumekua katika makuzi ya kuwa negative hivyo hata sishangai wewe kumshangaa huyo kocha kiasi hicho. 😀
safi sanaHii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi?
Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya shikhalo na wachezaji wa mikia? hapa wanayanga tumepigwa hapa
View attachment 1776328
wacha weeeeeeWabongo weengi hatujui soka, na wala hatufatilii..
Hili ni jambo la kawaida saana. Katika maswali mtu akiulizwa kuhusu mpinzani wake lazima aoneshe heshimi hilo moja, kisha azungumze ukweli..
Sasa hii kauli kaonesha heshima kwa mpinzani na pia ndio ina ukweli pia ndani yake..
Mleta mada ni bogaHii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi?
Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya shikhalo na wachezaji wa mikia? hapa wanayanga tumepigwa hapa.
Ni kwel sio uongo, haya post wanaolalamikatukianza na wewe boss, unaionaje hiyo kauli? ila kiukweli simba inaleta taswira nzuri sana ya soka la bongo afrika kutokana na kandanda safi,mtunisia kasema ya moyoni
Imewatibua wanayanga wengi maana kawaida Nugaz,Bumbuli na hata yule Mwakalebela huwaga hawasemi hilo bali wao hudai simba hawana timu nzuri wanabebwa na tff na marefa kwahiyo hata leo mashabiki walitegemea kusikia kauli kama hizo toka kwa kocha wao na sio kuongea ukweli mchunguu kama alivyofanyaMbona mimi haijanitibua?
@Shadeeya kakubaliana na kocha wake kuwa ni kweli simba sc inatandaza soka safi si ndani tu bali hadi kimataifaa ni tishioNadhani nyie mikia ndo mnakuza mambo. Mbona hiyo ni kauli ya kawaida.
Akiondoka wamlipe tu fidia zakeDooooh kimeumana! Utopolo sijui kama watamwacha salama huyu jamaa.
Wakiongozwa na msemaji wao Manyara.ukiusoma huu uzi, kuna mashabiki wa upande fulani unaona kabisa ni weupe kabisa kuhusu mambo ya mpira yanavyoenda... hata ukiwaambia sometimes kunakuwaga na "mind games" hawatakuelewa kabisa
Na atakaekiuka hio kauli atanyongwaKwangu Shem naiona ni kauli ya kawaida ya kiuanamichezo.
Tatizo sisi mashabiki hasa wa hizi timu mbili tumekua katika makuzi ya kuwa negative hivyo hata sishangai wewe kumshangaa huyo kocha kiasi hicho. 😀