Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Usiku wa kuamkia leo tarehe 5/8/2022 kumeibuka tetesi zinazodai kwamba aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi aamesaini mkataba mpya wa kumuwezesha kuendelea kubaki Yanga kwa miaka mingine miwili.
Awali kulikuwa na tetesi kuwa Kocha huyu anafanya mazungumzo na timu FAR Rabat na kuna uwezekano mkubwa wa kukubali dili hilo nono. Nasreddine Nabi amaemaliza mkataba wake wa kuitumikia timu ya Yanga ambapo alisaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu tarehe 20/4/2021.