Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
[emoji23]Unawaelezea wale wasio na akili isipokuwa wawili?
Furaha inazidi matumizi ya akili zaoHawa mandonga fc hawajawahi kuwa na akili
[emoji1787] Duuh!!Wale wanaopenda nyuma uwepo mwiko....
Nimesumbuliwa na utopolo hallowHujalala kwa kihoro, Kuna mdogo wangu naye ni kolo mwenzio, hakulala sababu ya kihoro.
The slogan says;Mbele mbele yao,nyuma kuna mwiko wa ubwabwa!Byuti byuti!😂😂😂😂😂Wale wanaopenda nyuma uwepo mwiko....
Tumwombee heri kwa mustakhabar wa ustaw wa league yetuHuyu Nabil ataondoka kwa aibu sana. Muda ni hakimu.
The slogan says;Mbele mbele yao,nyuma kuna mwiko wa ubwabwa!Byuti byuti![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahaaaaFuraha inazidi matumizi ya akili zao
Acha kubishana na ukweli. Kama Pepe Kalle mwenyewe alikiri kupitia wimbo wake maarufu wa Yanga Afrika!Ina ukubwa gani? Au kumsajili Aziz Ki na Morison ndio Ukubwa? na Joyce na Kambole?
Tutakukuna unapowashwaNight ya kuamkia Leo baada ya Yanga kutangaza kwa Mbwembwe zote kuwa bado hawajamaliza Basi wananchi wakawa shocked, nikaijiwa night ile na wadau eti Manzoki katua yanga mara Kuna mwanaume alikuwa anakipiga raja Casablanca tumemnunua fedha ya kutosha , kwa msisito ety yanga wanamtangaza saa 00:01 am, nkasema heeh !
Sasa muda wa kutangazwa ulipofika, sikuona chura akirukaruka kunifuata, najiuliza kulikon? Ikabid niingie online, kucheck, ety Nabi kasaini mkataba mpya na kwamba bado yupo yupo, niliangua kicheko kikuu [emoji23][emoji1787].
Tumeamka naona simwoni Mwananchi yeyote akinisumbuasumbua!
Uto sometimes muwe na akili kidogo, mahaba yanawapa uchizi
Hizo ramuli jipigie mwenyeweHuyu Nabil ataondoka kwa aibu sana. Muda ni hakimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Night ya kuamkia Leo baada ya Yanga kutangaza kwa Mbwembwe zote kuwa bado hawajamaliza Basi wananchi wakawa shocked, nikaijiwa night ile na wadau eti Manzoki katua yanga mara Kuna mwanaume alikuwa anakipiga raja Casablanca tumemnunua fedha ya kutosha , kwa msisito ety yanga wanamtangaza saa 00:01 am, nkasema heeh !
Sasa muda wa kutangazwa ulipofika, sikuona chura akirukaruka kunifuata, najiuliza kulikon? Ikabid niingie online, kucheck, ety Nabi kasaini mkataba mpya na kwamba bado yupo yupo, niliangua kicheko kikuu [emoji23][emoji1787].
Tumeamka naona simwoni Mwananchi yeyote akinisumbuasumbua!
Uto sometimes muwe na akili kidogo, mahaba yanawapa uchizi
Una machungu sana hasa ukimkumbuka mmadird wenuKwa mtazamo wangu, Nabi angeondoka kipindi hiki bado ana heshima.
Atakuja aondoke kwa dharau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani wa kuiombea mabaya team ya wa Yemen koko?? Sasa huyo nabi ana kipi cha kuonewa jicho la husda?? Mmeshikwa pabayaaa.Ni jambo zuri. Maana kuna wanga walishaanza kuchonga na kuiombea timu mabaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wanaopenda nyuma uwepo mwiko....
Wee mbna unalia sanaaa?? Vipi una hisa zako pale msimbazi??Wenye akili wamuuzia hisa 49% kwa 20bil huku mdhamini akitoa 26.1 bil kwa miaka tano.
Hii issues ni swala la muda ila kikinuka ndio tutajua mbichi na mbivu,manake kwa duniani hii imetokea Simba pekee yake.