Kocha wa Yanga, Prof Nabi asaini mkataba mpya Yanga

Hata Morrison mlisema kasaini yanga mkapost na picha yupo na engineer feki wameshika mikataba kilichotokea baada ya hapo ni maumivu hii cinema ya nabi itajulikana tu mwisho wake .
 
HERE WE GOOOO

Wale wachambuzi wa tetesi za mchongo sijui mtaweka wapi sura zenu *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…