Kocha Yanga anataka kumaliza msimu bila kupoteza mechi

Kocha Yanga anataka kumaliza msimu bila kupoteza mechi

Historia ipi hiyo?

Simba na Azam zilishaweka kabla yenu. Poleeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wongo wewe,
Hakuna timu ya tanzania imebeba kombe la afrika ndio wananchi wanaenda kunyanyua kwapa sasa,
Munateseeekaaa
 
Yanga SC siyo wa Kwanza kucheza Ligi Kuu na kuwa Bingwa bila Kufungwa kwani tayari Simba SC mwaka 2004 chini ya Kocha Mkenya Aggrey Siang'a (RIP) na mwaka 2008 chini ya Kocha Mzambia Patrick Phiri ilikuwa Bingwa bila ya Kufungwa na Timu yoyote.

Nimemaliza.
Kutokuwa mara ya kwanza hakuna uhusiano na malengo ya kocha wao msimu huu.
 
Utofauti upo ndio, timu inaweza ikamalaiza ligi bila kufungwa na asiwe bingwa. Kumbuka hata kutoa sare ni kutokufungwa lakini alama mbili unazipoteza. Hivyo timu ikitoa sare michezo 10 hapo unakuwa sawa sawa na aliyefungwa michezo 6 na sare moja
Mantiki yangu ni ule msimu ambao simba alifungwa na kagera sugar pale taifa alikuwa tayari kashachukua ubingwa je tutaita amechukua ubingwa bila kufungwa ule msimu? Maana kufungwa kulikuja baada ya kutwaa ubingwa ila ligi alimaliza kwa kufungwa
 
Alikuwa anataka Kutulazimisha tuamini ( tujue ) hivyo akiwa amesahau kuwa kuna Wengine Mpira huu wa Bongo ( Tanzania ) si tu kwamba tunaufuatilia lakini pia tumeshaucheza kwa Ngazi zetu mbalimbali na tunaujua vile vile hivyo hakuna wa Kutudanganya.
Walimu wako walipata tabu sana kumfundisha mwanafunzi mwenye kichwa kizito kama wewe. Mtoa mada hakuna sehemu alipoitaja Yanga kama timu pekee kuchukua ubingwa pasipo kupoteza mechi!

Yeye amenukuu tu maneno ya kocha wa Yanga, Profesa Nabi! Sasa kwa nini unashupaza shingo?
 
Wacha wongo wewe,
Hakuna timu ya tanzania imebeba kombe la afrika ndio wananchi wanaenda kunyanyua kwapa sasa,
Munateseeekaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unasemea Champions league?
Yaan Makundi enyewe hata hamjui km mtakuwepo au laaah,
Mnachekesha nyie woiiiiiiih.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unasemea Champions league?
Yaan Makundi enyewe hata hamjui km mtakuwepo au laaah,
Mnachekesha nyie woiiiiiiih.
Dah, kwa yanga hii ni raha tu
 
Kama hicho ndiyo kipimo chake basi sawa !! Tunamsubiri kombe la Mabigwa !!
 
Yanga SC siyo wa Kwanza kucheza Ligi Kuu na kuwa Bingwa bila Kufungwa kwani tayari Simba SC mwaka 2004 chini ya Kocha Mkenya Aggrey Siang'a (RIP) na mwaka 2008 chini ya Kocha Mzambia Patrick Phiri ilikuwa Bingwa bila ya Kufungwa na Timu yoyote.

Nimemaliza.
We Mzee ni Hamnazo kabisa.. Mbona mtoa mada sijaona kaandika kuwa Yanga amemaliza ligi bila kufungwa..!! nahisi umeandika wakati unamalizia kukata gogo😁😁..
Basi soma vizuri alichoandika mjuba
 
Yanga SC siyo wa Kwanza kucheza Ligi Kuu na kuwa Bingwa bila Kufungwa kwani tayari Simba SC mwaka 2004 chini ya Kocha Mkenya Aggrey Siang'a (RIP) na mwaka 2008 chini ya Kocha Mzambia Patrick Phiri ilikuwa Bingwa bila ya Kufungwa na Timu yoyote.

Nimemaliza.
Hakika kolo likizeeka huitwa Kolokolo.Wewe ni kolokolo
 
Back
Top Bottom