Kocha: yanga ni miongoni mwa timu 4 za kuogopwa afrika kwa sasa

Pamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.

Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.

Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.

2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.

3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.

VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.


UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
 
3.Scouting Bora ya Yanga , hii idara km wanayo basi ya kuogopwa na kutazwa vzr ,natamani kujua waliomo
 
Mmh! We jamaa hapo mwishoni ameonesha hasira zako zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…