Kocha: yanga ni miongoni mwa timu 4 za kuogopwa afrika kwa sasa

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
đź”°Kwa mujibu wa Kocha wa Al Merrikh Osama Nabieh anasema kuwa Mabingwa wa nchi Yanga ni miongoni mwa timu zinazoogopewa kwa sasa Barani Afrika.
20230925_124204.jpg
 
Pamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.

Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.

Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.

2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.

3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.

VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.

UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
 
3.Scouting Bora ya Yanga , hii idara km wanayo basi ya kuogopwa na kutazwa vzr ,natamani kujua waliomo
 
Pamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.

Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.

Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.

2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.

3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.

VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.

UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
Mmh! We jamaa hapo mwishoni ameonesha hasira zako zote.
 
Back
Top Bottom