Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
đź”°Kwa mujibu wa Kocha wa Al Merrikh Osama Nabieh anasema kuwa Mabingwa wa nchi Yanga ni miongoni mwa timu zinazoogopewa kwa sasa Barani Afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama wanaizidi SIMBA[emoji617]Kwa mujibu wa Kocha wa Al Merrikh Osama Nabieh anasema kuwa Mabingwa wa nchi Yanga ni miongoni mwa timu zinazoogopewa kwa sasa Barani Afrika.
View attachment 2761703
Mbumbumbu wa kwanza kasha fika
3.Scouting Bora ya Yanga , hii idara km wanayo basi ya kuogopwa na kutazwa vzr ,natamani kujua waliomoPamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.
Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.
Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.
2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.
3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.
VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.
UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
3.Scouting Bora ya Yanga , hii idara km wanayo basi ya kuogopwa na kutazwa vzr ,natamani kujua waliomo
Ni nani aliyewascout Lomalisa, Aziz Ki na Diara nimpe/niwape maua yao? Sajili bora kuwahi kutokea.Sijajua kwa sasa.
Ila kabla Ally mayai Hajapata UTEUZI nasikia Alikuwa anahusika sana.
Ndie aliyewaona akina Mayele, Bangala, Aucho JUMA Shaban
Jobu, kibwana ,Msheri nk
Mmh! We jamaa hapo mwishoni ameonesha hasira zako zote.Pamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.
Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.
Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.
2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.
3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.
VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.
UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
Basi yuko vzr na kamati yakeSijajua kwa sasa.
Ila kabla Ally mayai Hajapata UTEUZI nasikia Alikuwa anahusika sana.
Ndie aliyewaona akina Mayele, Bangala, Aucho JUMA Shaban
Jobu, kibwana ,Msheri nk
Hapa nani alikufa ?View attachment 2762070
Hapo kikosi chochote Mbumbu anakufa
Hapa nani alikufa ?View attachment 2762101View attachment 2762100