mtoa mada amesema aliye bora kwa sasa mkuu.....we unaongelea pep wa barca hio ni pastkipi kipya ambacho pep hakufanya na barca
Huyu mzee sio wakumuacha hivihivi bila kumpitisha
Mie kwangu Zinedine zidane kwangu nitamuona kocha bora mbele ya pep Gurdiola tuu. Lakini huyo Pep hata ya pili inamfaa.Anza kutafuta kocha bora wa pili mkuu hapo juu muache Pep
Mkuu pesa nyingi sio kipimo bora cha ukocha kwani pep alipokua barc mbona hakutumia pesa nyingi na alitamba tu, au pesa walizo mwaga PSG mbona wametolewa champions?Mie kwangu Zinedine zidane kwangu nitamuona kocha bora mbele ya pep Gurdiola tuu. Lakini huyo Pep hata ya pili inamfaa.
Zizo huu msimu wake wa Tatu pale Real Madrid lakini sijaona pesa ndefu alizomwaga kusajili wachezaji kama Pep Guardiola wa Man City ikiwa huu msimu wake wapili.
Babuuu.Jup hynkes.
Kama Barc hakutumia pesa ni kitu gani anachoshindwa kukifanya akiwa Man City...?Mkuu pesa nyingi sio kipimo bora cha ukocha kwani pep alipokua barc mbona hakutumia pesa nyingi na alitamba tu, au pesa walizo mwaga PSG mbona wametolewa champions?
Kocha ni zaidi ya kumwaga pesa
Man cty haina misingi ya kutengeneza wachezaji kitoka katika vituo vyao, hua wananunua wachezaji tu ndio maana ata yy kaendeleza hiyo tamaduniKama Barc hakutumia pesa ni kitu gani anachoshindwa kukifanya akiwa Man City...?
Umamwaga pesa umnunue naniMie kwangu Zinedine zidane kwangu nitamuona kocha bora mbele ya pep Gurdiola tuu. Lakini huyo Pep hata ya pili inamfaa.
Zizo huu msimu wake wa Tatu pale Real Madrid lakini sijaona pesa ndefu alizomwaga kusajili wachezaji kama Pep Guardiola wa Man City ikiwa huu msimu wake wapili.
Nitajie hivyo vizee mkuu,Umamwaga pesa umnunue nani
Kama unae modric,kroos,isco,Ronaldo,benzema,casemiro,carvajal,Marcello, varane,na Ramos kikosi cha madrid individual ni bora sana hapo kocha no kuweka mbinu mezani tyu wanaume kazini
Unlike city alioichukua guardiola ilikuwa na vizee vingi vilivokwisha mpira,so alifanya matumizi ya lazima
Hiyo misingi ipo Real Madrid tuu chini Zizo pekeeMan cty haina misingi ya kutengeneza wachezaji kitoka katika vituo vyao, hua wananunua wachezaji tu ndio maana ata yy kaendeleza hiyo tamaduni
Misingi ipo sasa? Maana hapo nimeongelea misingi miwili tofautiHiyo misingi ipo Real Madrid tuu chini Zizo pekee
Alafuu kwa hii post yako tu inaonesha mapenzi yakoHiyo misingi ipo Real Madrid tuu chini Zizo pekee
Kweli kabsa,,, pep na huyo wa barca wanabebwa na vkosi vyao pamoja na pesa wakat wa usajiri,,, mm nlitegemea watu kama Big Sam yule wa Everton,, angalia msimu huyu Everton walikuwa na hali gani lkn leo hii wapo nafasi ya ngapi,, muangalie Roy Hogdson yule wa Swansea na sasa Swansea wapo nafasi ya ngapi,,, km Pep ni kocha bora akaichukue Stoke City ilipo leo aipandshe hadi kumi boraKocha wa ujerumani na barca wanabebwa ma vikosi vyao liko wazi kabisa..... Huyo valverde mboma alipokua Athletic club hakuwa na makali haya why now???
Kwa mtazamo kocha bora anatakiwa awe na uwezo wa kubadilisha kikosi chochote kiwe cha ushindani mfano diego simeone aliikuta atletico position ya 14 ila toka ameingia kaibadilisha na inakamata top 3 kila msimu
Best coach ndio huyo hao kina guardiola ukiwapeleka timu vibonde hawafui dafu