Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Anza kutafuta kocha bora wa pili mkuu hapo juu muache Pep
Mie kwangu Zinedine zidane kwangu nitamuona kocha bora mbele ya pep Gurdiola tuu. Lakini huyo Pep hata ya pili inamfaa.

Zizo huu msimu wake wa Tatu pale Real Madrid lakini sijaona pesa ndefu alizomwaga kusajili wachezaji kama Pep Guardiola wa Man City ikiwa huu msimu wake wapili.
 
Mkuu pesa nyingi sio kipimo bora cha ukocha kwani pep alipokua barc mbona hakutumia pesa nyingi na alitamba tu, au pesa walizo mwaga PSG mbona wametolewa champions?

Kocha ni zaidi ya kumwaga pesa
 
Kama Barc hakutumia pesa ni kitu gani anachoshindwa kukifanya akiwa Man City...?
 
Mie kwangu Zinedine zidane kwangu nitamuona kocha bora mbele ya pep Gurdiola tuu. Lakini huyo Pep hata ya pili inamfaa.

Zizo huu msimu wake wa Tatu pale Real Madrid lakini sijaona pesa ndefu alizomwaga kusajili wachezaji kama Pep Guardiola wa Man City ikiwa huu msimu wake wapili.
Umamwaga pesa umnunue nani
Kama unae modric,kroos,isco,Ronaldo,benzema,casemiro,carvajal,Marcello, varane,na Ramos kikosi cha madrid individual ni bora sana hapo kocha no kuweka mbinu mezani tyu wanaume kazini

Unlike city alioichukua guardiola ilikuwa na vizee vingi vilivokwisha mpira,so alifanya matumizi ya lazima
 
Nitajie hivyo vizee mkuu,

Na hao uliwataja wachezaji wa Real Madridi nazani all 30 years...
 
Marcelo,kroos, Ramos,Ronaldo, Benzema, Modric All 30 Years....!!!

Lakini bado wanaendelea kuuzeka na utamua wao...
 
Kocha wa ujerumani na barca wanabebwa ma vikosi vyao liko wazi kabisa..... Huyo valverde mboma alipokua Athletic club hakuwa na makali haya why now???

Kwa mtazamo kocha bora anatakiwa awe na uwezo wa kubadilisha kikosi chochote kiwe cha ushindani mfano diego simeone aliikuta atletico position ya 14 ila toka ameingia kaibadilisha na inakamata top 3 kila msimu

Best coach ndio huyo hao kina guardiola ukiwapeleka timu vibonde hawafui dafu
Kweli kabsa,,, pep na huyo wa barca wanabebwa na vkosi vyao pamoja na pesa wakat wa usajiri,,, mm nlitegemea watu kama Big Sam yule wa Everton,, angalia msimu huyu Everton walikuwa na hali gani lkn leo hii wapo nafasi ya ngapi,, muangalie Roy Hogdson yule wa Swansea na sasa Swansea wapo nafasi ya ngapi,,, km Pep ni kocha bora akaichukue Stoke City ilipo leo aipandshe hadi kumi bora
 
Back
Top Bottom