loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Hvi kwanini taifa stazi tusimchukue??Arsenal mngemchukua
Na pia kwako mkuu. Ubarikiwe kwa udadisi wa masuala mbalimbali ya soka uliotulia.Amesoma alama za nyakati mapema sana japo wengi tunaweza kujua kwamba ameachana na Real Madrid ili kulinda hii ' treble record ' yake lakini ' Wafuatiliaji ' wa Kutukuka wa masuala ya mipira Tanzania na huko duniani Kwingine tumegundua ya kwamba Zidane hakuwa na wakati mzuri hasa Kimahusiano ya Rais wa Timu na kuna baadhi ya ' board Members ' wa Timu alikuwa akipishana nao. Na moja ya eneo ambao liliwaudhi na kuwakera Viongozi wa Real Madrid ni pale alipolazimisha kuwepo kwa ' Kipengele ' katika Mkataba wake kwamba katika masuala yote yahusuyo Timu hasa Wachezaji nani aanze na nani auzwe yatakuwa juu yake kama Muamuzi wa mwisho kitu ambacho kiliwakera / kiliwaudhi sana wenye Timu kiasi kwamba tokea siku nyingi walikuwa wakimlia tu ' timing ' ili aboronge / akosee / akengeuke hasa kwa Kufungwa halafu wapatie hapo hapo sababu ya Kumfurumusha / Kumfukuza lakini kama tujuavyo siku zote Dua la Kuku huwa halimpati Mwewe na badala yake Zidane ' nyota ' yake ikawa inang'aa tu huku akipata ' back up ' nzuri mno na ya kutosha kutoka kwa wale ' Senior Players ' na wenye ' ushawishi ' mkubwa hadi hivi majuzi alipofanikiwa kuwapa Real Madrid ' Ubingwa ' cha Champions League kwa mara ya 13 na mara 3 mfululizo akiingoza Yeye.
Kila la Kheri Mkuu.
Na pia kwako mkuu. Ubarikiwe kwa udadisi wa masuala mbalimbali ya soka uliotulia.
timu hamna mule wazee kibao inahitajika rotation ya kufa mtu ili madrid iwe moto misimu ya mbeleni hapoMwanga wewe!
Madrid imeahinda vikombe 13 jumla vya ucl, yeye kaionhoza kushinda 3, tumia magazijuto hapa.
Duh!professor Wa kufeli anakuja, msijali mashabiki Wa Madrid Wenger is coming
unaota ndoto mchana mkuuamini nawaambieni madrid ishajifia ile usishangae msimu ujao kuboronga katika mashindano yote tena kwa aibu
jamaa kuitema kaona mbali sana
Real sio Mbao fc.. yaan na wewe hapo umeona mbali??amini nawaambieni madrid ishajifia ile usishangae msimu ujao kuboronga katika mashindano yote tena kwa aibu
jamaa kuitema kaona mbali sana
Wataje wazee wengi hao ukitoa Ronaldo na Modric!timu hamna mule wazee kibao inahitajika rotation ya kufa mtu ili madrid iwe moto misimu ya mbeleni hapo
amini nakuambia ufalme unarudi barca tena maana wao washafanya rotation na kikosi chao kipo standard kwa sasa
Nami nimeliona hiliPochettino anaenda Madrid sasa
Kwa rekodi yake ya kuchukua Ubingwa tena wa Ulaya mara tatu ( 3 ) mfululizo ' treble ' Zinedine Yazid Zidane ' Zizzou ' angeendelea kubaki Kuwa ' Manager ' wa Real Madrid ningemdharau na kumpuuza sana. Sasa hivi ajiandae tu kufundisha Timu ya Taifa ya Ufaransa pale Fainali za Kombe la Dunia zikimalizika mwezi July.