TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ivi ma boss wa team wana akili gn au makoch wanao watka wawe wa haina gn??Umegusia kitu muhimu sana hapo, kwamba wachezaji waandamizi kuelewana na meneja.
Hata Mourinho naye aliondoka Chelsea kwa sababu tu hakuelewana na senior players na Wenger inasemwa kwamba Senior players walikuwa walishawishi under-performance.
Hivyo kama wewe ni meneja na unapata mafaniko kama ya "Zizzu" tena makombe ya CL mara tatu, unakwenda mahali popote pale hususan timu ya taifa.
Ivi ma boss wa team wana akili gn au makoch wanao watka wawe wa haina gn??
poa kkMaboss wa timu wana uwezo wa kuchambua wachezaji , timu pinzani na kitu cha msingi kabisa ni kuwadhibiti wachezaji yaani "Man-management".
Sasa ukiwa na wachezaji "multi-millionaires" kama Cristiano Ronaldo na Gareth Bale halafu hawakusikilizi wewe kama meneja na hawafuati maelekezo yaani intructions wawapo uwanjani basi ujue wewe huwezi kuwa meneja wa hiyo timu.
Kuna sababu kwanini Cristiano Ronaldo hakuweza kufunga magoli kwenye fainali na Liverpool na pia Zizzou ana tactical plan ya jinsi ya kukabiliana na timu pinzani na akazifunga, na hivyo kathibitisha kupitia ligi zote muhimu.
Hivyo basi mtu pekee ambae wachezaji wanaweza kumwita hata baba yao kwa kuwa na uwezo wa kukung'uta na kiatu ni Mzee Alex Ferguson maana yeye ukileta za kuleta atakuweka bench na atakurushia kiatu kama alivyomfanyia David Bekham huko ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo pamoja na utajiri wake Bekham.
Ukitaka kusomea sayansi ya michezo na utawala tafuta kitabu cha mzee Alex Ferguson kiitwacho Leading na kingine kiitwacho A Will to Win.
Hivyo uwezo wa maboss vijana kama Zidane wa Man Management tumeuona kwa kumtoa Ronaldo na Bale kukaa bench ili kutimiliza mpango wake wa kiufundi kuifunga Liverpool.
Lakini Uongozi nao una yake katika kufanikisha kazi ya meneja wa timu sasa mkielewana falsafa mambo poa lakini msipoelewana kama ilivyokuwa sasa kwa Zidane na uongozi wa Madrid basi imekula kwao.
[emoji23] [emoji23] unaota weweDhambi ya Ramos kwa salah inaanza kuwatafuna taratibu.
Mpaka wiki ijayo ronaldo atakuwa zake Huko Marekani au China.
Karma is Bitch
1998 alishalichukua kama mchezaji. Labda kama kocha.
Mpira Umeanza Kuufuatilia Lini?
Unapima ukocha wa wenger kwa arsenal kipindi cha kubana matumizi!!?..kwa bajeti ya wenger arsenal angepewa mourinho au guardiola wasingeishusha daraja!!?..wenger ni bonge la kocha,achana na sarakasi za arsrnalKumbe kuna watu bado wanataka wengar akafundishe kwenye club vyao duh
Waongo,timu haikufanya vizuri la liga na suala la kumtimua lilikua kitambo tu,madrid haikua timu ngumu kuifunga,haikucheza mpira mzuri,ila kwa kuwa mtu wao ndo wanaleta swaga hizo,hapo anaingia wenger na mpira mtamuNdio wakati pekee niliomwona Frolentino Perez akiwa amesikitika sana kwenye Press. "Anajua nilikuwa nampenda sana kuliko mchezaji ama kocha yeyote yule" . Frolentino Perez
Ukiambiwa kwamba kuna Watu Mwenyezi Mungu kawabariki na ' Nyota ' zao tokea wakiwa Matumboni mwa Mama zao basi mmoja wapo ni huyu ' Fundi ' Zinedine
.
Wacha kumfananisha Zidane na vitu vya hovyo hovyo. Mourinyo wakat anaondoka madrid alifukuzwa, wakat anaondoka chelsea timu ilikua inachezea nafac ya 16. Zidane ameweka rekod ya kua kocha aliyechukua kombe la ulaya mara zote alizoshirki kama kocha morinyo anasubir utd kuharibike ndo asepe.Zizzou & The Special One hupenda kuondoka kabla hawajaharibu CV zao & kabla hawajachuja.
HAUKUNIELEWA VIZURI MKUU, SIJAMLINGANISHA MOURINHO NA ZIDANE, MOURINHO ALIPOTWAA EUFA PORTO & INTER ALIONDOKA MAPEMA KABLA YA KUCHAFUA CV.Wacha kumfananisha Zidane na vitu vya hovyo hovyo. Mourinyo wakat anaondoka madrid alifukuzwa, wakat anaondoka chelsea timu ilikua inachezea nafac ya 16. Zidane ameweka rekod ya kua kocha aliyechukua kombe la ulaya mara zote alizoshirki kama kocha morinyo anasubir utd kuharibike ndo asepe.