Kocha Zinedine Zidane ajiuzulu kuifundisha Klabu ya Real Madrid

Amefanya uamuzi sahihi...! Miaka miwili na ushee unazoa mataji yote hayo...! Wakati Wenger kakaa pale Highbury na Emirates miaka zaidi ya ishirini ameambulia kufika final mara moja tu 2006 !!
====
Hongera Zinedine Zidane
 
Umegusia kitu muhimu sana hapo, kwamba wachezaji waandamizi kuelewana na meneja.

Hata Mourinho naye aliondoka Chelsea kwa sababu tu hakuelewana na senior players na Wenger inasemwa kwamba Senior players walikuwa walishawishi under-performance.

Hivyo kama wewe ni meneja na unapata mafaniko kama ya "Zizzu" tena makombe ya CL mara tatu, unakwenda mahali popote pale hususan timu ya taifa.
Ivi ma boss wa team wana akili gn au makoch wanao watka wawe wa haina gn??
 
Maboss wa timu wana uwezo wa kuchambua wachezaji , timu pinzani na kitu cha msingi kabisa ni kuwadhibiti wachezaji yaani "Man-management".

Sasa ukiwa na wachezaji "multi-millionaires" kama Cristiano Ronaldo na Gareth Bale halafu hawakusikilizi wewe kama meneja na hawafuati maelekezo yaani intructions wawapo uwanjani basi ujue wewe huwezi kuwa meneja wa hiyo timu.

Kuna sababu kwanini Cristiano Ronaldo hakuweza kufunga magoli kwenye fainali na Liverpool na pia Zizzou ana tactical plan ya jinsi ya kukabiliana na timu pinzani na akazifunga, na hivyo kathibitisha kupitia ligi zote muhimu.

Hivyo basi mtu pekee ambae wachezaji wanaweza kumwita hata baba yao kwa kuwa na uwezo wa kukung'uta na kiatu ni Mzee Alex Ferguson maana yeye ukileta za kuleta atakuweka bench na atakurushia kiatu kama alivyomfanyia David Bekham huko ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo pamoja na utajiri wake Bekham.

Ukitaka kusomea sayansi ya michezo na utawala tafuta kitabu cha mzee Alex Ferguson kiitwacho Leading na kingine kiitwacho A Will to Win.

Hivyo uwezo wa maboss vijana kama Zidane wa Man Management tumeuona kwa kumtoa Ronaldo na Bale kukaa bench ili kutimiliza mpango wake wa kiufundi kuifunga Liverpool.

Lakini Uongozi nao una yake katika kufanikisha kazi ya meneja wa timu sasa mkielewana falsafa mambo poa lakini msipoelewana kama ilivyokuwa sasa kwa Zidane na uongozi wa Madrid basi imekula kwao.
 
Ameshamaliza kila kitu Spain Huu n muda muafaka wa kutafuta changamoto mpya njee ya Spain
 
poa kk
 
[emoji116]
IMG-20180531-WA0032.jpg
 
Ndio wakati pekee niliomwona Frolentino Perez akiwa amesikitika sana kwenye Press. "Anajua nilikuwa nampenda sana kuliko mchezaji ama kocha yeyote yule" . Frolentino Perez
 
Kumbe kuna watu bado wanataka wengar akafundishe kwenye club vyao duh
Unapima ukocha wa wenger kwa arsenal kipindi cha kubana matumizi!!?..kwa bajeti ya wenger arsenal angepewa mourinho au guardiola wasingeishusha daraja!!?..wenger ni bonge la kocha,achana na sarakasi za arsrnal
 
Ndio wakati pekee niliomwona Frolentino Perez akiwa amesikitika sana kwenye Press. "Anajua nilikuwa nampenda sana kuliko mchezaji ama kocha yeyote yule" . Frolentino Perez
Waongo,timu haikufanya vizuri la liga na suala la kumtimua lilikua kitambo tu,madrid haikua timu ngumu kuifunga,haikucheza mpira mzuri,ila kwa kuwa mtu wao ndo wanaleta swaga hizo,hapo anaingia wenger na mpira mtamu
 
Nampongeza ZIDANE kwa uvumilivu wote & alizokumbana nazo pale Santiago Bernabeu.

Nampongeza pia kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kuwapatanisha wachezaji wote na kuwa familia moja.

Namshukuru tena na kumpongeza kwa kutupatia mataji mbali mbali sambamba na EUFA mara 3 mfululizo.

Kila la heri huko aendako ikiwa ni Turin, Stamford au Les Bleus.

MADRID ITAMFANYA WENGER AU CONTE WAIONE CHUNGU MITHILI YA SHUBIRI, INGEKUWA BORA POCHETTINO KUIBEBA MIKOBA HII.
 
Yazid Zidane alias Zizzou.
Huyu jamaa alikuwa ndugu yetu hapo tu Algeria..Mungu Bwana...Kati ya maamuzi ya akili aliyofanya Zidane hilo binafsi naona ni kuu sana kwake.Binadamu hawana Jema..ukichukua sana Vikombe Fitna zinakuja zaidi ya Tunavyowaza
 
Zizzou & The Special One hupenda kuondoka kabla hawajaharibu CV zao & kabla hawajachuja.
Wacha kumfananisha Zidane na vitu vya hovyo hovyo. Mourinyo wakat anaondoka madrid alifukuzwa, wakat anaondoka chelsea timu ilikua inachezea nafac ya 16. Zidane ameweka rekod ya kua kocha aliyechukua kombe la ulaya mara zote alizoshirki kama kocha morinyo anasubir utd kuharibike ndo asepe.
 
HAUKUNIELEWA VIZURI MKUU, SIJAMLINGANISHA MOURINHO NA ZIDANE, MOURINHO ALIPOTWAA EUFA PORTO & INTER ALIONDOKA MAPEMA KABLA YA KUCHAFUA CV.
 
Back
Top Bottom