Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arsenal IPI ile ya kagameArsenal mngemchukua
Usiku mwema MkuuNatasmani aje kuifundisha Simba tuone nguvu ya pesa za Mo!!!!
hahahahahah
Exactly.. Amejenga historia ya kutofukuzwa. Florentino Perez angemtimua ingekuwa noma sana!Kwa rekodi yake ya kuchukua Ubingwa tena wa Ulaya mara tatu ( 3 ) mfululizo ' treble ' Zinedine Yazid Zidane ' Zizzou ' angeendelea kubaki Kuwa ' Manager ' wa Real Madrid ningemdharau na kumpuuza sana. Sasa hivi ajiandae tu kufundisha Timu ya Taifa ya Ufaransa pale Fainali za Kombe la Dunia zikimalizika mwezi July.
Kumbe kuna wawakilishi wa arsenal humu!?Arsenal mngemchukua
Si mchangie hizo 30,000/= za wanayanga mmulete awafundishe vyura?Natasmani aje kuifundisha Simba tuone nguvu ya pesa za Mo!!!!
hahahahahah
Exactly.. Amejenga historia ya kutofukuzwa. Florentino Perez angemtimua ingekuwa noma sana!
Hahaaaaa kisiki cha mpingo hiko! Hakuna mng'oaji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]So ZIDANE Kamuacha Mbowe tena akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA?
Madrid imeahinda vikombe 13 jumla vya ucl, yeye kaionhoza kushinda 3, tumia magazijuto hapa.amini nawaambieni madrid ishajifia ile usishangae msimu ujao kuboronga katika mashindano yote tena kwa aibu
jamaa kuitema kaona mbali sana
Ishabaki stori, hawana hayo meno!!vipi wazee wa Yanga mna dau niwafanyie mpango aje? Niko very close na huyu jamaa atawavusha sana msimu ujao wa 2018/2019