Kocha Zinedine Zidane ajiuzulu kuifundisha Klabu ya Real Madrid

Kocha Zinedine Zidane ajiuzulu kuifundisha Klabu ya Real Madrid

Sijaona maelezo ya kizungu wakisema amejiuzuru ila mleta mada anasema kajiuzuru sijui mleta mada umesoma wap
 
Ikiwa zimepita Siku tano taangu real Madrid Watwae Ubingwa wa UEFA Aliyekua Kocha/Mwalimu wa Timu huyo Zinedine Zidane ameikacha Klabu ya Real Madrid.

For Sukuma Viewers.
Zinedine Zidane says he is stepping down as Real Madrid boss, five days after leading them to a third straight Champions League triumph, claiming the club needs "a different voice".

Zidane told a news conference that "everything changes" and "that's why I took this decision".

He leaves having guided the Spanish club to three successive Champions League titles and one La Liga success since taking over in January 2016.

"I love this club," he added.

"What I think is that this team needs to continue winning but I think it needs a change, a different voice, another methodology. And that's why I took this decision."

Zidane, 45, took over after Rafael Benitez was sacked and was in charge for 149 games. He steered Real to 104 wins and 29 draws, and had 69.8% win rate.

He said in February that he would walk away if he felt "there is nothing more to give".

However, the timing of his announcement still came as a shock just days after Real beat Liverpool 3-1 in the Champions League final.

More to follow.
 
vipi wazee wa Yanga mna dau niwafanyie mpango aje? Niko very close na huyu jamaa atawavusha sana msimu ujao wa 2018/2019
 
Kwa rekodi yake ya kuchukua Ubingwa tena wa Ulaya mara tatu ( 3 ) mfululizo ' treble ' Zinedine Yazid Zidane ' Zizzou ' angeendelea kubaki Kuwa ' Manager ' wa Real Madrid ningemdharau na kumpuuza sana. Sasa hivi ajiandae tu kufundisha Timu ya Taifa ya Ufaransa pale Fainali za Kombe la Dunia zikimalizika mwezi July.
Exactly.. Amejenga historia ya kutofukuzwa. Florentino Perez angemtimua ingekuwa noma sana!
 
Kocha huyo raia wa Ufaransa na mwalimu wa timu ya Real Madrid, Zinedine Zidane ametangaza hayo leo katika kikao chake na waandishi wa habari mchana wa 31/5/2018
wp_ss_20180531_0003 (2).png
 
amini nawaambieni madrid ishajifia ile usishangae msimu ujao kuboronga katika mashindano yote tena kwa aibu
jamaa kuitema kaona mbali sana
 
professor Wa kufeli anakuja, msijali mashabiki Wa Madrid Wenger is coming
 
Exactly.. Amejenga historia ya kutofukuzwa. Florentino Perez angemtimua ingekuwa noma sana!

Amesoma alama za nyakati mapema sana japo wengi tunaweza kujua kwamba ameachana na Real Madrid ili kulinda hii ' treble record ' yake lakini ' Wafuatiliaji ' wa Kutukuka wa masuala ya mipira Tanzania na huko duniani Kwingine tumegundua ya kwamba Zidane hakuwa na wakati mzuri hasa Kimahusiano ya Rais wa Timu na kuna baadhi ya ' board Members ' wa Timu alikuwa akipishana nao. Na moja ya eneo ambao liliwaudhi na kuwakera Viongozi wa Real Madrid ni pale alipolazimisha kuwepo kwa ' Kipengele ' katika Mkataba wake kwamba katika masuala yote yahusuyo Timu hasa Wachezaji nani aanze na nani auzwe yatakuwa juu yake kama Muamuzi wa mwisho kitu ambacho kiliwakera / kiliwaudhi sana wenye Timu kiasi kwamba tokea siku nyingi walikuwa wakimlia tu ' timing ' ili aboronge / akosee / akengeuke hasa kwa Kufungwa halafu wapatie hapo hapo sababu ya Kumfurumusha / Kumfukuza lakini kama tujuavyo siku zote Dua la Kuku huwa halimpati Mwewe na badala yake Zidane ' nyota ' yake ikawa inang'aa tu huku akipata ' back up ' nzuri mno na ya kutosha kutoka kwa wale ' Senior Players ' na wenye ' ushawishi ' mkubwa hadi hivi majuzi alipofanikiwa kuwapa Real Madrid ' Ubingwa ' cha Champions League kwa mara ya 13 na mara 3 mfululizo akiingoza Yeye.

Kila la Kheri Mkuu.
 
hao ndo mabest coaches keshaona timu almost of his players wako above 30yrz amegutuka mapema.
 
amini nawaambieni madrid ishajifia ile usishangae msimu ujao kuboronga katika mashindano yote tena kwa aibu
jamaa kuitema kaona mbali sana
Madrid imeahinda vikombe 13 jumla vya ucl, yeye kaionhoza kushinda 3, tumia magazijuto hapa.
 
Back
Top Bottom