Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu.
Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii.
Suluhisho ni kwa serikali kupunguza kodi au kutoa ruzuku kwenye hii sekta wakati vita ya Russian na Ukraine ikiendelea na hata ikiisha.
Swali ni je, serikali ikishusha kodi, hiyo kodi wataifidia kutoka vyanzo gani?
Wakisema watoe ruzuku kwenye eneo hili, je, wana uwezo huo ukizingatia gharama itakuwa ni kubwa?
Katika hili swala la mafuta, serikali imeshikwa pabaya, hivyo tujiandae tu kwa maumivu.
Tuanze sasa mkakati wa kutumia gesi yetu kuendeshea magari kwani tutapunguza uhitaji wa mafuta kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tutakuwa tumepunguza uhitaji wa dola dhidi ya shillingi yetu Katika eneo hili na hivyo ku-boost shillingi yetu kwa kiasi fulani dhidi ya dola.
Kupanga ni kuchagua.