Kodi Kubwa, matumizi makubwa kwa anasa!

Kodi Kubwa, matumizi makubwa kwa anasa!

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Fikiria unaagiza gari chakavu (used car) nje ya nchi, ikifika TRA, TBS, TPA Kodi na ushuru usio wa kikodi huu hapa,
Kwa mfano,
I. Discovery 3 Kodi tu 18m TZS,
II. Ford Ranger kodi tu 30m TZS,
III. PRADO Kodi tu 35m TZS (TRA wanaipata bure tu).

Halafu hiyo Kodi unaenda kumnunulia mtu mmoja V8 Land cruiser la 600m TZS (full-service, mafuta, dereva) na posho za anasa. Tutaendelea namna hii? VAT 18% Ni maumivu hakika. Shule hazina madawati

Screenshot_20230320_113238.jpg
images (99).jpeg
images (74).jpeg
 

Attachments

  • images - 2023-08-07T032526.636.jpeg
    images - 2023-08-07T032526.636.jpeg
    33.2 KB · Views: 2
  • images - 2023-08-07T032619.067.jpeg
    images - 2023-08-07T032619.067.jpeg
    36.8 KB · Views: 3
Fikiria unaagiza Discovery 3 Kodi 18m TZS, Ford Ranger kodi 30m TZS, PRADO Kodi 35m TZS. Halafu hiyo Kodi unaenda kumnunulia mtu mmoja V8 Land cruiser (full-service, mafuta, dereva), posho za anasa. Tutaendelea namna hii? VAT 18% Ni maumivu hakika.
Punguza ujuaji, Lipa Kodi bila shuruti we boya watu wazitafune Kwa nafasi
 
Fikiria kina mama wanaouza karanga
na machungwa kwenye mabeseni wapate angalau elfu 5 ya kula halafu elfu 5 yenyewe haitoshi kununua sukari kilo 2. Kwenye hiyo kilo ya sukari wanalipa kodi chungu nzima ili tu Mwigulu anunue LC300 kwa milioni 800, alifanyie service na kuweka mafuta full tank na fedha nyingine wapewe Yanga na Simba kwa kufunga magoli.
 
Kodi balaa. Tozo na viingilio Maonyesho 7-7, pantoni, parking, Choo nacho unalipia daah
Kuingia stendi (Magufuli terminal au Msamvu pale) unalazimishwa kulipa kiingilio na ukiingia ukitaka kutumia choo hapo stendi unalipia tena, sasa hiyo iitwayo kiingilio sijui matumizi yake ni yapi.

Au kuingia stendi ni starehe (luxury) au kwamba watu wengi majumbani wanatamani kwenda stendi kwa hiyo mnawadiskareji kwa kutoza kiingilio?? Huu si ni wizi!! Stendi kama Nanenane Mbeya hazina viingilio kwa watu na bado zipo vizuri, huu wizi au utumwa wa fikra mtaacha lini?
 
Kuingia stendi (Magufuli terminal au Msamvu pale) unalazimishwa kulipa kiingilio na ukiingia ukitaka kutumia choo hapo stendi unalipia tena, sasa hiyo iitwayo kiingilio sijui matumizi yake ni yapi.

Au kuingia stendi ni starehe (luxury) au kwamba watu wengi majumbani wanatamani kwenda stendi kwa hiyo mnawadiskareji kwa kutoza kiingilio?? Huu si ni wizi!! Stendi kama Nanenane Mbeya hazina viingilio kwa watu na bado zipo vizuri, huu wizi au utumwa wa fikra mtaacha lini?
Parking hata kwenye sehemu yako ya biashara watu wanakusanya Kodi kama yao
 
Inatakiwa iwe 10% ndo halali. Kenya apo n 16% sijui sisi apa Tanzania nani katuloga asee. Kuna muda nataman revolt ifanyike na apa kwetu
Ubinafsi wa viongozi wetu ndio tatizo kubwa, wao hujiangalia wenyewe tu
 
Points ni zilezile.

1.Lack of competent leaders
2.Poor government policies
3.Corruptions
4.Lack of mass education
5.Selfishness
6.Undugunizations
7.Ufisadinizations
8.Watz wengi ni Wajinga
9.Mwizi wa mamilioni hafungwi
10.Tumewekeza bonds Kwa Diamond na Kiba.

Haleluya!!!
 
Ingekuwaga ni free kuhama nchi Moja kwenda nchi nyingine kama wanavyohama nyumbu na wanyama wengine Kuna baadhi ya nchi nzingekosa raia,,.
NB. Ukoloni Bado upo ila umejificha nyuma ya kivuli Cha uhuru kutupumbaza.
 
Back
Top Bottom