Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahaaa lipa kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, mwenyewe yupo Cubaaa! anakula life [emoji3]Unaifahamu VIEITE wewe ?
Maisha sio fair kabisaAisee, mwenyewe yupo Cubaaa! anakula life [emoji3]
Huku hadi chawa wake anakuwepoNimeishi London uk miaka saba sijawahi ona misafara mirefu ya ajabu hivi, yaana hata malkia uingereza msafara wake haujafika nusu ya hapo, ila huku kwetu dah! Hii misafara yetu nasikia ina mawaziri, mkuu wa mkoa/wilaya, viongozi waandamizi serikalini ni kama vile Rais anatembea na serikali yake
Steve Nyerere ana itinerary yoteHuku hadi chawa wake anakuwepo
Hili neno VAT imekuwa mtihani mkubwa kwa Mtanzania [emoji22][emoji22]VAT angalau iwe 14-16%
Elimu kubwa utaipata kwenye Ilani ya ChamaHili neno VAT imekuwa mtihani mkubwa kwa Mtanzania [emoji22][emoji22]
Kwenye bajeti ya wizara ya fedha niliona inatakiwa ianzie 200m au 100m hii ina maana gani? Mbona hata ukinunua luku kuna VAT [emoji119][emoji119] mwenye uelewa wa haya mambo tupe elimu...
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
HakikaElimu kubwa utaipata kwenye Ilani ya Chama
UNA HOJA ZA MSINGI,Points ni zilezile.
1.Lack of competent leaders
2.Poor government policies
3.Corruptions
4.Lack of mass education
5.Selfishness
6.Undugunizations
7.Ufisadinizations
8.Watz wengi ni Wajinga
9.Mwizi wa mamilioni hafungwi
10.Tumewekeza bonds Kwa Diamond na Kiba.
Haleluya!!!
Ungonjwa wa moyo unakunyemelea[emoji23]Fikiria kina mama wanaouza karanga
na machungwa kwenye mabeseni wapate angalau elfu 5 ya kula halafu elfu 5 yenyewe haitoshi kununua sukari kilo 2. Kwenye hiyo kilo ya sukari wanalipa kodi chungu nzima ili tu Mwigulu anunue LC300 kwa milioni 800, alifanyie service na kuweka mafuta full tank na fedha nyingine wapewe Yanga na Simba kwa kufunga magoli.
Au la niwe Mwigulu ajae😃😀Ungonjwa wa moyo unakunyemelea[emoji23]
Ccm ni janga la DuniaFikiria unaagiza gari chakavu (used car) nje ya nchi, ikifika TRA, TBS, TPA Kodi na ushuru usio wa kikodi huu hapa,
Kwa mfano,
I. Discovery 3 Kodi tu 18m TZS,
II. Ford Ranger kodi tu 30m TZS,
III. PRADO Kodi tu 35m TZS (TRA wanaipata bure tu).
Halafu hiyo Kodi unaenda kumnunulia mtu mmoja V8 Land cruiser la 600m TZS (full-service, mafuta, dereva) na posho za anasa. Tutaendelea namna hii? VAT 18% Ni maumivu hakika. Shule hazina madawati
View attachment 2710524View attachment 2710525View attachment 2710526