Kodi Kubwa, matumizi makubwa kwa anasa!

Kodi Kubwa, matumizi makubwa kwa anasa!

Points ni zilezile.

1.Lack of competent leaders
2.Poor government policies
3.Corruptions
4.Lack of mass education
5.Selfishness
6.Undugunizations
7.Ufisadinizations
8.Watz wengi ni Wajinga
9.Mwizi wa mamilioni hafungwi
10.Tumewekeza bonds Kwa Diamond na Kiba.

Haleluya!!!
Hahaha
 
Fikiria unaagiza gari chakavu (used car) nje ya nchi, ikifika TRA, TBS, TPA Kodi na ushuru usio wa kikodi huu hapa,
Kwa mfano,
I. Discovery 3 Kodi tu 18m TZS,
II. Ford Ranger kodi tu 30m TZS,
III. PRADO Kodi tu 35m TZS (TRA wanaipata bure tu).

Halafu hiyo Kodi unaenda kumnunulia mtu mmoja V8 Land cruiser la 600m TZS (full-service, mafuta, dereva) na posho za anasa. Tutaendelea namna hii? VAT 18% Ni maumivu hakika. Shule hazina madawati

View attachment 2710524View attachment 2710525View attachment 2710526
Ni tatizo zito
 
Fikiria kina mama wanaouza karanga
na machungwa kwenye mabeseni wapate angalau elfu 5 ya kula halafu elfu 5 yenyewe haitoshi kununua sukari kilo 2. Kwenye hiyo kilo ya sukari wanalipa kodi chungu nzima ili tu Mwigulu anunue LC300 kwa milioni 800, alifanyie service na kuweka mafuta full tank na fedha nyingine wapewe Yanga na Simba kwa kufunga magoli.
Hahaha.....nchi ya ajabu sana hii
 
Back
Top Bottom