Kodi Kubwa, matumizi makubwa kwa anasa!

Nimeishi London uk miaka saba sijawahi ona misafara mirefu ya ajabu hivi, yaana hata malkia uingereza msafara wake haujafika nusu ya hapo, ila huku kwetu dah! Hii misafara yetu nasikia ina mawaziri, mkuu wa mkoa/wilaya, viongozi waandamizi serikalini ni kama vile Rais anatembea na serikali yake
 
Huku hadi chawa wake anakuwepo
 
VAT angalau iwe 14-16%
Hili neno VAT imekuwa mtihani mkubwa kwa Mtanzania [emoji22][emoji22]
Kwenye bajeti ya wizara ya fedha niliona inatakiwa ianzie 200m au 100m hii ina maana gani? Mbona hata ukinunua luku kuna VAT [emoji119][emoji119] mwenye uelewa wa haya mambo tupe elimu...

Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
 
Elimu kubwa utaipata kwenye Ilani ya Chama
 
UNA HOJA ZA MSINGI,
SUBIRI KUJA KUJIBIWA NA MASHEHE, CHAWA, MASHOGA NA MACHOKO WENGINE KAMA NANI..
 
Nimesha ongea na Nina rudia tena na tena "mwafrika Hana uwezo wa kujiletea maendeleo ya kiuchumi,kisiasa,kijamiii!!" Hawezi na hata weza mwafrika au mtanzania anapaswa kutawaliwa!!!
 
Kodi kubwa yenye kuwanufaisha wachache Bora nchi ichukuliwe na jeshi Kwa japo miaka kumi tu.

Magari mazuri yote wanatumia WAO tu.
 
Ungonjwa wa moyo unakunyemelea[emoji23]
 
Ccm ni janga la Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…