Kodi nyingi zitatuzindua usingizini Watanzania na kudai haki zetu, Nchemba umechemka kuhusu 18 years kulipa kodi ya kichwa

Kodi nyingi zitatuzindua usingizini Watanzania na kudai haki zetu, Nchemba umechemka kuhusu 18 years kulipa kodi ya kichwa

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua.

Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji wa serikali wanavyofanya mambo kiholela na kimazoea.

Ni sababu ya kutolipa kodi au kodi kidogo ndiyo maana wananchi wakijengewa barabara wanaona kama vile ni hisani, ni kwa sababu ya kodi kidogo wananchi wanapoambiwa rais kawaleteeni hela wanaamini rais kazitoa kwenye account yake binafsi.

Angalia wafanyabiashara na watu waliojiajiri jinsi walivyo bitter, ni sababu ya mizigo ya kodi wanayolipishwa.

Mzigo wa kodi ndiyo utawafanya wananchi wapate hasira za kusimamishwa barabarani kwa zaidi ya saa nzima ili kupisha misafara ya wengine.

Ni kupitia kodi hizi itasaidia wananchi kuwa na ownership ya nchi yao.

Britanicca
 
Cha ajabu hakuna kodi kwenye rent, appartments zimejaa Dar Upanga, Masaki na kila mahali wanalipisha mpaka 2000USD/mwezi lkn serikali haikati hata shilingi, ila wanataka mwanafunzi alipe kodi, binafsi simlaumu Waziri Fedha, hiyo kodi imeletwa na raisi Samia ili alipie madeni na interest au riba juu na siajabu ndio moja ya masharti ya mikopo anayochukuwa kila siku.

Pure evil!
 
Cha ajabu hakuna kodi kwenye rent, appartments zimejaa Dar Upanga, Masaki na kila mahali wanalipisha mpaka 2000USD/mwezi lkn serikali haikati hata shilingi, ila wanataka mwanafunzi alipe kodi.

Pure evil!
Umesikiloza bajeti? Unajua maana ya Kodi ya zuio yaani withholding tax?

Kwa taarifa yako baada ya kumalizika kwa zoezi la anuani za makazi,utambuzi wa nyumba za biashara/kupangishwa utafanywa na watu wanaanza kulipa Kodi.
 
Wajibu Upo ila kwani Mwenye 18+ na kipato alipe kodi sawa ni sahihi kabisa,swali sahivi sheria inamkataza mwenye 18+ na kipato asilipe kodi?
Unaelewa maana ya TIN?

Hivi ambae bado sio mwanafunzi na ana ujuzi WA fani mbalimbali kwa nini asilipe Kodi? Machinga huko mtaani wako chini ya 18 na wanalipa ushuru..
 
Takataka kabisa hii awamu.

Hilo li mwigulu lilikuwaje waziri?

Inawezekana nyuma yake kuna muhuni kazi yake kumpa mwiguru vi upuuzi fulan aje avisemee bungeni, na wabunge vichwa maji hawawez pinga, basi hilo jambo linapitishwa kwa njia hiyo, haiwezekan kila siku mwigulu awe yeye wa kuintroduce upuuzi upuuzi kama huo.

Ajira za shida alafu bado muwakate vijana izo kodi za kijambazi, that's totally bullshit,

Sema huyu maza enu akifikiri uchumi unavyomchumu anashindwa kubuni njia za kulipa madeni zaid ya kuunda matozo&makodi ya kijinga jinga kwa wananchi.....shame on ths gvnt
 
Wabo
Umesikiloza bajeti? Unajua maana ya Kodi ya zuio yaani withholding tax?

Kwa taarifa yako baada ya kumalizika kwa zoezi la anuani za makazi,utambuzi wa nyumba za biashara/kupangishwa utafanywa na watu wanaanza kulipa Kodi.
Wabongo wengi wanahongea kwa hisia hawana elimu kuhusu kodi na sheria za kodi, ata nchemba mwenyewe ni anahongea tu vitu visivyona uhalisia wala havina maana kwenye income tax act na Tax administration act, haupaswi kumtoza mtu kodi kama hana vigezo vya kulipia iyo kodi ambayo ni direct tax unamtozaje mtu hana source of income ata kama katimiza miaka 18, na utamuachaje mtu ana biashara kwa mwaka anaingiza milioni 100 na zaidi kisa ana miaka chini ya 18, someni income tax act na tax administration act ndo utajua vitu wanavyoongea wanasiasa hawangaliagi na sheria zinasemaje na wengine wanaandikiwa tu na PhD zao za mchongo
 
Wamebeba vichwa vimekuwa mzigo hadi Kwa miguu yao.
 
Umesikiloza bajeti? Unajua maana ya Kodi ya zuio yaani withholding tax?

Kwa taarifa yako baada ya kumalizika kwa zoezi la anuani za makazi,utambuzi wa nyumba za biashara/kupangishwa utafanywa na watu wanaanza kulipa Kodi.
Rental tax ipo sema elimu ya kodi watu hawana ambayo ingesaidia tax voluntary compliance na pia tax administrators ni wachache kufanya enforcement.
 
Back
Top Bottom