Kodi ya Hamisa Mobetto imeisha Mbezi Beach

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Ile nyumba ambayo Hamisa alidai kanunuliwa na Mondi kumbe ni ya kupanga imeisha kodi.. Cha ajabu Mange alihangaika kumchangishia hela mtandaoni japo anunue kiwanja kupewa hela Hamisa akanunua Toyota Vanguard ili kuendana na ujinga wa kushindanishwa na Zari ambaye ana Range Rover, Benz, Ferarri, LAMBORGHINI etc.
Screenshot_20190518-191745_Instagram.jpeg
 
Hata Zari, yale magari sio ya kwake. Anayakodisha kuwadanganya watu wenye akili ndogo msiojua kupambanua mambo.
Kila siku mnarushwa roho na vitu vya kukodi.
Ila sie wapembuzi wa mambo tunajua tu!
Zari ana car park inayoingia magari mawili. Kama ananunua magari mapya kila siku, mbona ile parking huwa haijai?
 
Kwaiyo ile range ya 2018 ni ya kukodi mbona anayo mwaka mzima sasa? Unajua kukodi range ya kizamani tu kwa harusi kwa siku ni millioni moja? Kakodi na wewe basi uje utambe Instagram akili fupi
 
Mkuu, nimefanya kazi ya kutoa mikopo benki... Huwa unaweza kwenda kwa mteja akajiboost wewee mpaka basi. Ila we unamsikiliza. Kila sentensi na kile unachokiona wewe unakiweka kwenye namba. Mwisho wa siku hata kama kaomba mkopo wa milioni mia, utakachomwambia wewe unaqualify kupata mkopo wa milioni tano. Hatupigwagi na mapicha picha kama nyie wanainchi wa kawaida.
Ukiona mtu kafanya kazi ya kutoa mikopo benki, usije ukamdanganyishia mapicha picha ya mali mara sijui eti nyumba ya milioni ishirini umwambie umejenga kwa milioni mia. Utaumbuka.
Sie ni watu wa kucheza na namba. Sio tambo za mapicha picha!
 
Zari huwa anawaonesha picha amepoz kwenye gari. Umeshawahi mwona anaweka kadi ya gari hadharani?
Obama alipobanwa kuwa sio raia wa Marekani, aliweka cheti chake cha kuzaliwa hadharani, mjadala ukafungwa.
Sasa mwambie na Zari akisema kanunua ndinga, aambatanishe na picha ya kadi ya gari... Tuone kama ina jina lake ndio tuamini. Hivi hivi usiwe unapenda kurushwa roho na kuamini vitu vya ku fake!
 
Kuna mijitu mijinga aisee, yaani unakodi nyumba sehemu expensive huna kazi inayo eleweka, kwanini hiyo hela ya kurent mbezi asingeenda kupanga nyumba Gogo la mboto au mbagala akasave hela akaenda kuifanyia ishu ya maana??? M*f*cker

Sijui nimeandika nn hahah....
 
Mkuu, nimefanya kazi ya kutoa mikopo benki... Huwa unaweza kwenda kwa mteja akajiboost wewee mpaka basi. Ila we unamsikiliza. Kila sentensi na kile unachokiona wewe unakiweka kwenye namba. Mwisho wa siku hata kama kaomba mkopo wa milioni mia, utakachomwambia wewe unaqualify kupata mkopo wa milioni tano. Hatupigwagi na mapicha picha kama nyie wanainchi wa kawaida.
Ukiona mtu kafanya kazi ya kutoa mikopo benki, usije ukamdanganyishia mapicha picha ya mali mara sijui eti nyumba ya milioni ishirini umwambie umejenga kwa milioni mia. Utaumbuka.
Sie ni watu wa kucheza na namba. Sio tambo za mapicha picha!
Huna lolote benki teller. Kama vipi na wewe nikuone japo na Ferrari ya kukodi japo jumapili ya kesho tukale bata capetown fish market uone mimi mpambe wako ntakavyoshobokewa na watoto wa mjini kama mungu mtu.
 
Mtafuatilia maisha ya watu mpaka lini? Mtu mzima unakuja kusema kodi ya fulani imeisha so what. Kama imeisha kalipe.
Ni wivu tu.
Bora huyo anayeitwa jinga kaweza hata kulipa kodi na bills zingine, mtoa taarifa anaishi gheto kastiriwa na shost hajui hata bei ya andazi kutwa kuomba vocha kwa watu ili aingie instagram kutukana waliomzidi maisha,

Tz, we have a long way to go.
 
Kawezaje kulipa kodi wakati mondi ndo alimpangishia apo kwa ufadhili wa watu wake.
 
Back
Top Bottom