ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Alafu washabiki wa yanga wakae wp?Kodi Kama Imeisha
Aende National Stadium Akalale Bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu washabiki wa yanga wakae wp?Kodi Kama Imeisha
Aende National Stadium Akalale Bure
Mkuu wewe ni mwanaume au mwanamke?Ilo gari jekundu ndo vanguard ambalo mange alichangisha watu hela anunue kiwanja jinga likanunua gari ili lishindane na bosslady zariView attachment 1101475
Nimejikuta nacheka japo leo nimeboreka Asante sanaAlafu washabiki wa yanga wakae wp?
South Africa unaweza kodi gari ya aina yeyote..ata wasanii wa TZ shooting zao south ukodi magari ya kifahali na private jet au boat .kule zipo kampuni kabisa zenye kukodisha magari na jet kwa wasanii au watu wanaotaka haya mavitu.wewe uliezoea kukodi gari mpaka siku ya harusi pole sana😁Kwaiyo ile range ya 2018 ni ya kukodi mbona anayo mwaka mzima sasa? Unajua kukodi range ya kizamani tu kwa harusi kwa siku ni millioni moja? Kakodi na wewe basi uje utambe Instagram akili fupi
Upo sawa kabisa.anakodisha for few hrs au days anakuja rusha watu roho.Kwa aliwei tembelea South haya mambo ya kukodi maferari,mavogi na kawaida sana wala sio ishuHata Zari, yale magari sio ya kwake. Anayakodisha kuwadanganya watu wenye akili ndogo msiojua kupambanua mambo.
Kila siku mnarushwa roho na vitu vya kukodi.
Ila sie wapembuzi wa mambo tunajua tu!
Zari ana car park inayoingia magari mawili. Kama ananunua magari mapya kila siku, mbona ile parking huwa haijai?
slv.co.za
Kwaiyo zile namba za gari zenye jina lake anatembelea kinyume na sheria au?Zari huwa anawaonesha picha amepoz kwenye gari. Umeshawahi mwona anaweka kadi ya gari hadharani?
Obama alipobanwa kuwa sio raia wa Marekani, aliweka cheti chake cha kuzaliwa hadharani, mjadala ukafungwa.
Sasa mwambie na Zari akisema kanunua ndinga, aambatanishe na picha ya kadi ya gari... Tuone kama ina jina lake ndio tuamini. Hivi hivi usiwe unapenda kurushwa roho na kuamini vitu vya ku fake!
Kwaiyo wewe unauwezo wa kukodi gari kwa million moja kwa siku mwaka mzima kama zari eehne unajua hadi sasa itakuwa kashlipa millioni tsh 498 tangu awe na ilo rangeSouth Africa unaweza kodi gari ya aina yeyote..ata wasanii wa TZ shooting zao south ukodi magari ya kifahali na private jet au boat .kule zipo kampuni kabisa zenye kukodisha magari na jet kwa wasanii au watu wanaotaka haya mavitu.wewe uliezoea kukodi gari mpaka siku ya harusi pole sana[emoji16]
Na hawa ndio wanaume wa KINONDONIIle nyumba ambayo Hamisa alidai kanunuliwa na Mondi kumbe ni ya kupanga imeisha kodi.. Cha ajabu Mange alihangaika kumchangishia hela mtandaoni japo anunue kiwanja kupewa hela Hamisa akanunua Toyota Vanguard ili kuendana na ujinga wa kushindanishwa na Zari ambaye ana Range Rover, Benz, Ferarri, LAMBORGHINI etc. View attachment 1101470
Jibu tamu sana hiliNa wewe kazae na Mondi akupangie mamaa,
kwann unaumia kwa maisha ya mwengine?
Mbonana wewe unafuatilia maisha yetu ya kufuatilia maisha ya wengineYani wanaume kwa wanawake na nywele za kila rangi mmezbeba mnabishana kuhusu maisha ya watu as if u guys mnapata chochote!
anakodi anapiga picha analirudisha kisha anaenda siku nyingine analikodi tena.acha kushabikia ubumbavu...huyo Zari zaidi ya kudate makolongwee,wauza madawa na matapeli wa kuuza dhaabu fake ana jipya...akuna mtu mwenye life yake na anaejitambua atadate na malaya kama huyo Zari...now days umalaya mnaupigia chapuo kama vile ni jambo la kawaida ata kwenye vitabu vya diniKwaiyo wewe unauwezo wa kukodi gari kwa million moja kwa siku mwaka mzima kama zari eehne unajua hadi sasa itakuwa kashlipa millioni tsh 498 tangu awe na ilo range
Kama kahamia kwake je?Mastaaa wana kazi mm kodi ikiisha hata jirani hajui, hamisa kodi kuisha dunia mzima inajua!