Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
So what?Ilo gari jekundu ndo vanguard ambalo mange alichangisha watu hela anunue kiwanja jinga likanunua gari ili lishindane na bosslady zariView attachment 1101475
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what?Ilo gari jekundu ndo vanguard ambalo mange alichangisha watu hela anunue kiwanja jinga likanunua gari ili lishindane na bosslady zariView attachment 1101475
Hapo sasa. Kila mtu aishi apendavyo chamuhimu ni kutokuvunja sheria tu.Bora huyo anayeitwa jinga kaweza hata kulipa kodi na bills zingine, mtoa taarifa anaishi gheto kastiriwa na shost hajui hata bei ya andazi kutwa kuomba vocha kwa watu ili aingie instagram kutukana waliomzidi maisha,
Tz, we have a long way to go.
Unaturipotia kua Hamisa kaishiwa kodi na kusema ni mjinga kanunua gari ajilinganishe na Zari basi nikajua hata unasema anajilinganisha na wewe kumbe na wewe kakuacha mbali sana,Nani kaumia kwani wewe ukiangalia cnn kila habari unamtukana ripota kwamba kaumia kisa katuma habari?
Kwaiyo nyie wafuasi wa hamisa mkishindwa kumlinganisha hamisa na zari basi mnahamishia hasira kumlinganisha na watu wa comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaturipotia kua Hamisa kaishiwa kodi na kusema ni mjinga kanunua gari ajilinganishe na Zari basi nikajua hata unasema anajilinganisha na wewe kumbe na wewe kakuacha mbali sana,
what a pathetic creature.
Unaona sasa unavyozidi kujionesha how pathetic you are, mfuasi wa Hamisa kwenye lipi kukwambia ukweli basi mtu kishakua mfuasi wa mtu,Kwaiyo nyie wafuasi wa hamisa mkishindwa kumlinganisha hamisa na zari basi mnahamishia hasira kumlinganisha na watu wa comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We la saba na iyo pathetic yako sijui ndo neno ulilofeli english language? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Unaona sasa unavyozidi kujionesha how pathetic you are, mfuasi wa Hamisa kwenye lipi kukwambia ukweli basi mtu kishakua mfuasi wa mtu,
Pambana na hali yako mama, usijibebeshe mizigo isiyokua yako utadondoka bure.
Hata Zari, yale magari sio ya kwake. Anayakodisha kuwadanganya watu wenye akili ndogo msiojua kupambanua mambo.
Kila siku mnarushwa roho na vitu vya kukodi.
Ila sie wapembuzi wa mambo tunajua tu!
Zari ana car park inayoingia magari mawili. Kama ananunua magari mapya kila siku, mbona ile parking huwa haijai?
Mkuu, nimefanya kazi ya kutoa mikopo benki... Huwa unaweza kwenda kwa mteja akajiboost wewee mpaka basi. Ila we unamsikiliza. Kila sentensi na kile unachokiona wewe unakiweka kwenye namba. Mwisho wa siku hata kama kaomba mkopo wa milioni mia, utakachomwambia wewe unaqualify kupata mkopo wa milioni tano. Hatupigwagi na mapicha picha kama nyie wanainchi wa kawaida.
Ukiona mtu kafanya kazi ya kutoa mikopo benki, usije ukamdanganyishia mapicha picha ya mali mara sijui eti nyumba ya milioni ishirini umwambie umejenga kwa milioni mia. Utaumbuka.
Sie ni watu wa kucheza na namba. Sio tambo za mapicha picha!
Zari huwa anawaonesha picha amepoz kwenye gari. Umeshawahi mwona anaweka kadi ya gari hadharani?
Obama alipobanwa kuwa sio raia wa Marekani, aliweka cheti chake cha kuzaliwa hadharani, mjadala ukafungwa.
Sasa mwambie na Zari akisema kanunua ndinga, aambatanishe na picha ya kadi ya gari... Tuone kama ina jina lake ndio tuamini. Hivi hivi usiwe unapenda kurushwa roho na kuamini vitu vya ku fake!
We la saba na iyo pathetic yako sijui ndo neno ulilofeli english language? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ukweli hamisa is pathetic.. We na wenzio kwanini hamtaki kuachana na zari kutwa kumdiss mtu kawazidi mbingu na dunia.. Lini mtagundua nyie ni makapuku tu kwa zari?
Ilo gari jekundu ndo vanguard ambalo mange alichangisha watu hela anunue kiwanja jinga likanunua gari ili lishindane na bosslady zariView attachment 1101475
Dooh maskini hadi huruma yaani,We la saba na iyo pathetic yako sijui ndo neno ulilofeli english language? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ukweli hamisa is pathetic.. We na wenzio kwanini hamtaki kuachana na zari kutwa kumdiss mtu kawazidi mbingu na dunia.. Lini mtagundua nyie ni makapuku tu kwa zari?
[emoji28][emoji28] all this time bish thought i was a girl[emoji28][emoji28][emoji28]. I could have you cornered yo ass and get you pregnantDooh maskini hadi huruma yaani,
nawashukuru wazazi wangu sana tena sana kwa kunipa elimu iliyopelekea nijitambue, niwe na utashi pia nijiamini, lol.
Girl, you still look pathetic here.
[emoji849][emoji849]
Bro umetumia nguvu sana kuijibu hii akili ndogo mwenzio akili yake inamtuma kuingia insyagram tuMkuu, nimefanya kazi ya kutoa mikopo benki... Huwa unaweza kwenda kwa mteja akajiboost wewee mpaka basi. Ila we unamsikiliza. Kila sentensi na kile unachokiona wewe unakiweka kwenye namba. Mwisho wa siku hata kama kaomba mkopo wa milioni mia, utakachomwambia wewe unaqualify kupata mkopo wa milioni tano. Hatupigwagi na mapicha picha kama nyie wanainchi wa kawaida.
Ukiona mtu kafanya kazi ya kutoa mikopo benki, usije ukamdanganyishia mapicha picha ya mali mara sijui eti nyumba ya milioni ishirini umwambie umejenga kwa milioni mia. Utaumbuka.
Sie ni watu wa kucheza na namba. Sio tambo za mapicha picha!
Happy mothers day.,maana unatabia za kimama aisee[emoji28][emoji28] all this time bish thought i was a girl[emoji28][emoji28][emoji28]. I could have you cornered yo ass and get you pregnant
We la saba na iyo pathetic yako sijui ndo neno ulilofeli english language? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ukweli hamisa is pathetic.. We na wenzio kwanini hamtaki kuachana na zari kutwa kumdiss mtu kawazidi mbingu na dunia.. Lini mtagundua nyie ni makapuku tu kwa zari?
Hahaha umepanic eeeh! relaaaaax.[emoji28][emoji28] all this time bish thought i was a girl[emoji28][emoji28][emoji28]. I could have you cornered yo ass and get you pregnant