Kodi ya Hamisa Mobetto imeisha Mbezi Beach

Kodi ya Hamisa Mobetto imeisha Mbezi Beach

Kwaiyo ile range ya 2018 ni ya kukodi mbona anayo mwaka mzima sasa? Unajua kukodi range ya kizamani tu kwa harusi kwa siku ni millioni moja? Kakodi na wewe basi uje utambe Instagram akili fupi
ww ni team zari?!!
 
Kodi Kama Imeisha
Aende National Stadium Akalale Bure
Huko mechi za bure za kiafiki si ndo zitaongezeka bora hapo danga likiingia anazima mainswitch anasema luku imetuishia linaingia mfukoni
 
Upo sawa kabisa.anakodisha for few hrs au days anakuja rusha watu roho.Kwa aliwei tembelea South haya mambo ya kukodi maferari,mavogi na kawaida sana wala sio ishuView attachment 1102163
Status Luxury Vehicles
Lakini hio R33,200 ni sawa sawa na Tshs 5,478,000 kwa exchange rate ya 165tsh kwa R1 sasa kibongo bongo mtu anaeweza kutumia milioni 5 kwa ajili ya kukodi gari huyo yupo vizuri mkuu au unasemaje?
 
mnisaidie wenzangu hivi huyu binti huwa anashughuli gani namsikia sikia wanamuimba sijui nini kama hamisa mobeto
 
Back
Top Bottom