Mtafuatilia maisha ya watu mpaka lini? Mtu mzima unakuja kusema kodi ya fulani imeisha so what. Kama imeisha kalipe.Kalipe
Haina shida, alale kwenye hiyo gari nyekundu... Kimfaacho mtu chake atiiIlo gari jekundu ndo vanguard ambalo mange alichangisha watu hela anunue kiwanja jinga likanunua gari ili lishindane na bosslady zariView attachment 1101475
Kwaiyo ile range ya 2018 ni ya kukodi mbona anayo mwaka mzima sasa? Unajua kukodi range ya kizamani tu kwa harusi kwa siku ni millioni moja? Kakodi na wewe basi uje utambe Instagram akili fupiHata Zari, yale magari sio ya kwake. Anayakodisha kuwadanganya watu wenye akili ndogo msiojua kupambanua mambo.
Kila siku mnarushwa roho na vitu vya kukodi.
Ila sie wapembuzi wa mambo tunajua tu!
Zari ana car park inayoingia magari mawili. Kama ananunua magari mapya kila siku, mbona ile parking huwa haijai?
Mkuu, nimefanya kazi ya kutoa mikopo benki... Huwa unaweza kwenda kwa mteja akajiboost wewee mpaka basi. Ila we unamsikiliza. Kila sentensi na kile unachokiona wewe unakiweka kwenye namba. Mwisho wa siku hata kama kaomba mkopo wa milioni mia, utakachomwambia wewe unaqualify kupata mkopo wa milioni tano. Hatupigwagi na mapicha picha kama nyie wanainchi wa kawaida.Kwaiyo ile range ya 2018 ni ya kukodi mbona anayo mwaka mzima sasa? Unajua kukodi range ya kizamani tu kwa harusi kwa siku ni millioni moja? Kakodi na wewe basi uje utambe Instagram akili fupi
Zari huwa anawaonesha picha amepoz kwenye gari. Umeshawahi mwona anaweka kadi ya gari hadharani?Kwaiyo ile range ya 2018 ni ya kukodi mbona anayo mwaka mzima sasa? Unajua kukodi range ya kizamani tu kwa harusi kwa siku ni millioni moja? Kakodi na wewe basi uje utambe Instagram akili fupi
Huna lolote benki teller. Kama vipi na wewe nikuone japo na Ferrari ya kukodi japo jumapili ya kesho tukale bata capetown fish market uone mimi mpambe wako ntakavyoshobokewa na watoto wa mjini kama mungu mtu.Mkuu, nimefanya kazi ya kutoa mikopo benki... Huwa unaweza kwenda kwa mteja akajiboost wewee mpaka basi. Ila we unamsikiliza. Kila sentensi na kile unachokiona wewe unakiweka kwenye namba. Mwisho wa siku hata kama kaomba mkopo wa milioni mia, utakachomwambia wewe unaqualify kupata mkopo wa milioni tano. Hatupigwagi na mapicha picha kama nyie wanainchi wa kawaida.
Ukiona mtu kafanya kazi ya kutoa mikopo benki, usije ukamdanganyishia mapicha picha ya mali mara sijui eti nyumba ya milioni ishirini umwambie umejenga kwa milioni mia. Utaumbuka.
Sie ni watu wa kucheza na namba. Sio tambo za mapicha picha!
Bora huyo anayeitwa jinga kaweza hata kulipa kodi na bills zingine, mtoa taarifa anaishi gheto kastiriwa na shost hajui hata bei ya andazi kutwa kuomba vocha kwa watu ili aingie instagram kutukana waliomzidi maisha,Mtafuatilia maisha ya watu mpaka lini? Mtu mzima unakuja kusema kodi ya fulani imeisha so what. Kama imeisha kalipe.
Ni wivu tu.
Kawezaje kulipa kodi wakati mondi ndo alimpangishia apo kwa ufadhili wa watu wake.Bora huyo anayeitwa jinga kaweza hata kulipa kodi na bills zingine, mtoa taarifa anaishi gheto kastiriwa na shost hajui hata bei ya andazi kutwa kuomba vocha kwa watu ili aingie instagram kutukana waliomzidi maisha,
Tz, we have a long way to go.
Na wewe kazae na Mondi akupangie mamaa,Kawezaje kulipa kodi wakati mondi ndo alimpangishia apo kwa ufadhili wa watu wake.
Yani watu wamechangishwa pesa na wakatoa...Ilo gari jekundu ndo vanguard ambalo mange alichangisha watu hela anunue kiwanja jinga likanunua gari ili lishindane na bosslady zariView attachment 1101475