Kodi ya Hamisa Mobetto imeisha Mbezi Beach

Na wewe kazae na Mondi akupangie mamaa,
kwann unaumia kwa maisha ya mwengine?
Nani kaumia kwani wewe ukiangalia cnn kila habari unamtukana ripota kwamba kaumia kisa katuma habari?
 
Bora huyo anayeitwa jinga kaweza hata kulipa kodi na bills zingine, mtoa taarifa anaishi gheto kastiriwa na shost hajui hata bei ya andazi kutwa kuomba vocha kwa watu ili aingie instagram kutukana waliomzidi maisha,

Tz, we have a long way to go.
Hapo sasa. Kila mtu aishi apendavyo chamuhimu ni kutokuvunja sheria tu.
 
Hivi haiwezekani kuwa hamisa mwenyewe ndio kaamua kuipangisha?
 
Nani kaumia kwani wewe ukiangalia cnn kila habari unamtukana ripota kwamba kaumia kisa katuma habari?
Unaturipotia kua Hamisa kaishiwa kodi na kusema ni mjinga kanunua gari ajilinganishe na Zari basi nikajua hata unasema anajilinganisha na wewe kumbe na wewe kakuacha mbali sana,

what a pathetic creature.
 
Kwaiyo nyie wafuasi wa hamisa mkishindwa kumlinganisha hamisa na zari basi mnahamishia hasira kumlinganisha na watu wa comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwaiyo nyie wafuasi wa hamisa mkishindwa kumlinganisha hamisa na zari basi mnahamishia hasira kumlinganisha na watu wa comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaona sasa unavyozidi kujionesha how pathetic you are, mfuasi wa Hamisa kwenye lipi kukwambia ukweli basi mtu kishakua mfuasi wa mtu,

Pambana na hali yako mama, usijibebeshe mizigo isiyokua yako utadondoka bure.
 
We la saba na iyo pathetic yako sijui ndo neno ulilofeli english language? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ukweli hamisa is pathetic.. We na wenzio kwanini hamtaki kuachana na zari kutwa kumdiss mtu kawazidi mbingu na dunia.. Lini mtagundua nyie ni makapuku tu kwa zari?
 
Povu lote hili kisa Zari aiseee huyu mwanamke anatetemesha wengi.

Bwana mikopo shushia hiii bure kabisa maana ka mshahara kako hakana jeuri ya kuinunua
 
Vinuka mkojo full kuumizwa na Zari. Keshawaachia bwana wao bado wanamfata fata aisee
 
Dooh maskini hadi huruma yaani,
nawashukuru wazazi wangu sana tena sana kwa kunipa elimu iliyopelekea nijitambue, niwe na utashi pia nijiamini, lol.

Girl, you still look pathetic here.
[emoji849][emoji849]
 
[emoji28][emoji28] all this time bish thought i was a girl[emoji28][emoji28][emoji28]. I could have you cornered yo ass and get you pregnant
 
Bro umetumia nguvu sana kuijibu hii akili ndogo mwenzio akili yake inamtuma kuingia insyagram tu
 
Hamisa is pathetic ila wewe umeenda mbali nae ,wewe ni pathetic and stupid...hivi inakuwaje na vuzi zote unazomiliki hapo unachukua simu,unatype uzi kama huu mixer picha kwa mtu ambaye hujachangia hata hiyo kodi unayodai imemuishia

Sijui kwanini wewe instagram unashindwa kutumia ubongo...yani unaandika eti kutwa kumdiss zari wakati wewe mada yako unamdiss mtu ambaye kimsingi hakuhusu

#povu😀
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜±πŸ™ŒπŸ™‡πŸ™‡πŸšΆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…