Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Ipo siku mtu atafuatwa na TRA wakiongozana na askari na kuulizwa kwanini hununui umeme?[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kuwafaidisha viongozi wezi.Tulipe kodi kwa maendeleo ya Taifa letu pendwa
Miradi isiyokuwa na tija kama kuhamia Dodoma ndiyo inatubebesha mizigo isiyokuwa na mantiki kama hii
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?
Vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?
CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.
Ivi huwa una integrate Kodi zote unazochangiaga kweli wewe. Sukari mafuta yaani kila kitu ni kodi.Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Ccm wataalamu sana wa mbinu chafu.
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?
Vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?
CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.
Shida sio kuchangia serikali, ila kulipa kodi isiyokuhusu hasa kwetu sisi wapangaji.Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
kama umejaliwa maisha mazuri kausha wengine hyo 12,000 tunaisotea wiki nzimaKama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Tatizo sio kuchangia 12k ili serikali ilete maendeleo ila je serikali ina nia ya dhati kuleta maendeleo ikiwa 80% ya fedha za bajeti zinaenda kwenye matumizi ya kawaida badala ya maendeleo yaani hapa hata kama tutaongeza makusanyo ya Kodi maradufu lakini kama hakutakuwa na udhibiti wa matumizi yasiyo ya lazima hayo maendeleo tutayaona kwa jirani maana mapato mengi kwa sasa yanaenda kuwafaidisha vigogo wa chama na serikali ila sio wananchi wa kawaidaKama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Nilisema sifa kwasababu.... Haiwezekani ulipe kodi ya nyumba kwa mwenye nyumba na ulipie kodi ya jengo ambalo sio lako!!! Hii unaona ni sawa kwann? Na kwann tozo sio sawa?Sio sifa Mkuu,kodi ya 12000 kwa mwaka Kwa raia anayejitambua ni kitu gani?Tulipe Kodi ili tupate haki ya kulalamika tunapoona hakuna maendelo
Tena sifa za kijingaaAcha sifa we jamaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii wangeita kodi ya watumia umeme.
Hivi una fahamu maana ya nchi kuwa na "Natural resources " kama Madini, Mbuga za wanyama, Mazao ya biashara Vivutio vya watalii, Gasi, Secta Binafsi,Bandari na wawekezaji?Hiyo nyumba yenye wapangaji kumi ni ya biashara,unastahili kulipa.
Lipa mkuu,Kuna reli ya umeme anatakiwa akamilishe Dar-Morogoro, Morogoro-Dodoma. Alafu aanzishe na akamilishe Dodoma-Singida-Tabora-Shinyanga mpaka Mwanza. Mzigo aloachiwa Ni mkubwa. Na akifeli mtasema! Ameshindwa!
Kuna mradi wa kufua umeme,zahanati na Sasa Barabara vijijini. Hivi mama lazima amalizie kwani ameachiwa mzigo.
Nani anamamlaka ya kukusanya kodi ya majengo? Ardhi, serikali ya mitaa au Tanesco? Ajabu Tanesco amekuwa wakala wa TRA na kuacha jukumu lake la msingi.