white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Mimi.nimenunua jana tu mbona bado ni 1000?!!!ndio maana nilisema waweke ushahidi huo.Ni 1000. Hiyo 3000 imeanza lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi.nimenunua jana tu mbona bado ni 1000?!!!ndio maana nilisema waweke ushahidi huo.Ni 1000. Hiyo 3000 imeanza lini?
Hata ukienda Tanesco hakuna kitu kitabadilika. Kuna mmoja alipata hiyo changamoto mwaka jana, alihangaika Tanesco Ila mwisho akaamua kukubali matokeo.Ndio hivyo inatakiwa uende tanesco uwataarifu kuwa hizo mita mbili zipo kwenye jengo moja,tofauti na hapo hata ziwe tano,kila mita watakata pesa ya jengo.
Hili tatizo linakumba baadhi ya watu na kweli ni tatizo. Ni kama waliokatwa pesa atm, Kuna ambao walikatwa na Kuna ambao hawakukatwa.Mimi.nimenunua jana tu mbona bado ni 1000?!!!ndio maana nilisema waweke ushahidi huo.
Hayo matatizo kwenye mifumo hata ya simu yapo,lakini huwezi kusema eti sasa kodi ya majengo imepanda ni 3000?Hili tatizo linakumba baadhi ya watu na kweli ni tatizo. Ni kama waliokatwa pesa atm, Kuna ambao walikatwa na Kuna ambao hawakukatwa.
Ukweli kuna shida ya ununuzi wa umeme, mwaka jana Kuna mtu akinunua lakini haikuja msg ya kutoka GePG, badala yake ilikua zile namba 5(15...). Hapo tafsiri yake kuna mauzo ya umeme yamefanyika nje ya mfumo rasmi wa serikai
Jaribu kuelewa mkuu,wakati ule zoezi ndio linataka kuanza TRA,walitoa maelekezo kuwa kama nyumba yako ima mita zaidi ya moja nenda ofisi ya tanesco na barua ili wafahamu hilo.Japo naamini bado hata leo kama una changamoto hiyo inataturika!!labda mtu anapuuzia tu kutokana na kiwango kuwa kidogo.hivi kweli ingekuwa ni 50000 kwa mwezi,mtu angeacha hivi hivi tu?Hata ukienda Tanesco hakuna kitu kitabadilika. Kuna mmoja alipata hiyo changamoto mwaka jana, alihangaika Tanesco Ila mwisho akaamua kukubali matokeo.
Sidhani
Sidhani kama ni kweli,ni vizuri ukiweka ushahidi huo!!
Mmmm!!!Na kila mwezi ulikuwa unanunua umeme?!! Na hiyo mita haina deni lolote?!!View attachment 2609656
some time tuwe watu wa kufanya reasoning, mimi nilijua peke angu nlokatwa.
ushahidi huo apo.
Kweli kabisa, tarehe 02/5/2023 Kuna jamaa alikuwa anunue umeme wa 5,000 ukagoma, akauliza customer care wanamwambia anadaiwa 13,000 hivyo ama alipe deni lote ama nusu ndiyo atapata ruhusa ya kununua umeme, wakati huo hakuna hata sms ya kuonyesha kuwa kunadeni ili mteja ajue mapema. Hili ni tatizo.Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja.
Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei kaja kununua tena umeme amekatwa Kodi 6000, hii imekaaje?
Ikiwa kila unaponunua umeme unakatwa madeni yote, huyu mteja alistahili kulipa 2000 tu ya April na mei iweje amekatwa 6000? nani anacheza mchezo huu?
Pili, kwenye application ya kununua umeme kwanini hawaoneshi deni unalodaiwa, badala yake unakuwa unakisia tu kiwango unachodaiwa, ukishanunua ndo unaoneshwa debt collected, jambo hili linaukakasi, nini kinazuia kuonesha deni unalodaiwa kabla ya kulipia?
Watu wengi wanamalalamiko kuhusu kuzidishiwa makato mamlaka ziliangalie.
[emoji47][emoji47][emoji47] duuu! Sio mchezo, mtego huu [emoji23][emoji23][emoji23]Nyumba yangu Ina luku nne na wanakata zote, nilipokwenda kulalamika TRA wakaniambia ngoja watizame kama kuna wapangaji ili wanilipue na15% ya kodi ninayo lipwa.
Sikurudi tena[emoji849]
Weee! Tahadhari kumbuka BabuFey alicho jibiwa TRA.Ndio hivyo inatakiwa uende tanesco uwataarifu kuwa hizo mita mbili zipo kwenye jengo moja,tofauti na hapo hata ziwe tano,kila mita watakata pesa ya jengo.
Daaahhh, naona hili limenikumba aisee.Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja.
Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei kaja kununua tena umeme amekatwa Kodi 6000, hii imekaaje?
Ikiwa kila unaponunua umeme unakatwa madeni yote, huyu mteja alistahili kulipa 2000 tu ya April na mei iweje amekatwa 6000? nani anacheza mchezo huu?
Pili, kwenye application ya kununua umeme kwanini hawaoneshi deni unalodaiwa, badala yake unakuwa unakisia tu kiwango unachodaiwa, ukishanunua ndo unaoneshwa debt collected, jambo hili linaukakasi, nini kinazuia kuonesha deni unalodaiwa kabla ya kulipia?
Watu wengi wanamalalamiko kuhusu kuzidishiwa makato mamlaka ziliangalie.
Si waona umeandikiwa deni?View attachment 2609665
some time tuwe watu wa kufanya reasoning, mimi nilijua peke angu nlokatwa.
ushahidi huo apo.
deni la nini sasa, umeme nimefunga mwezi wa pili, unit zao zilipokaribia kuisha nikaenda kituo kikubwa kununua luku na wakakata unit zao.Si waona umeandikiwa deni?
Hii ndiyo naisikia leo maana mimi niliambiwa kuwa kinachotozwa kodi ni nyumba na siyo luku hivo unastahili kutoa taarifa tanesco mita ipi ndiyo ikatwe hiyo buku. Nakushauri fanya hivo nenda tanesco waambie nyumba yako ina mita zaidi ya moja ila wape mita moja ndiyo iwe inakatwa hiyo buku.Nyumba yangu Ina luku nne na wanakata zote, nilipokwenda kulalamika TRA wakaniambia ngoja watizame kama kuna wapangaji ili wanilipue na15% ya kodi ninayo lipwa.
Sikurudi tena🙄
Mkuu kama miezi 2 hukununu maana yake miezi miwili ni 2000 plus huu was sasa ni 1000 jumla 3000 ni sawayap boss, kila baada ya siku 2 lazima ninunue umeme, nina miezi miwili au mwezi sikukatwa kodi ya jengo niliponunua tarehe 1, ndo wamenikomeshea hapo. it means nimepigwa 3000 per month.
mbona nimekatwa 6,000/=Mkuu kama miezi 2 hukununu maana yake miezi miwili ni 2000 plus huu was sasa ni 1000 jumla 3000 ni sawa
Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja.