Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

bora sila unaweza kukimnbia, mwenzio anakuibia kwa kalamu huku MATAGA wakigonga meza.
Mimi 'Kalamu', sijawahi kuwa mwizi hata siku moja, na sijawahi kuwa na uhusiano wowote na MATAGA.

Jaji mfawidhi ananihukumu kwa kosa la kupangwa tu kwa sababu azijuazo mwenyewe!
 
Mimi 'Kalamu', sijawahi kuwa mwizi hata siku moja, na sijawahi kuwa na uhusiano wowote na MATAGA.

Jaji mfawidhi ananihukumu kwa kosa la kupangwa tu kwa sababu azijuazo mwenyewe!
kaka kalamu nisamehe, nlikuwa nalenga MATAGA na chawa wao.
 
Wanaandaa hela ya uchaguzi kwa ajili ya kutuibia kura na kuteka watu wetu tu hao
 
Watz hatuwezi kukubali kuwa na rais gaidi kigeugeu katili na mwenye roho mbaya kama Mwigulu
 
Huku anakuogopa sana kwakuwa kuna Vichwa 'Geniuses' wengi tena ambao hata hawana 'Doctorate' kama yake ya Mzumbe University na wengine wakiwa hata Vyuo Vikuu huko hawajafika na hawana mpango wa Kufika.
Phd za vyuo vya bongo ni professional rubbish
 
Ulivyo ngumbaru, unafikiri hizo kodi Mwigulu kajipangia tu bila Samia kujua?
 
Mwanasiasa anapo ongea jambo lake sijui anatuonaje yaani aah!
 
Hizi pesa hazitajenga madarasa wala barabara, nchi imeshikwa pabaya ipo sehemu wanapotaka kupeleka hizi pesa.. Madarasa na barabara hazijaanza kujengwa leo na hatuwajahi fanyiwa haya mauzauza! Hizo barabara na madarasa ni propaganda tu ndio maana wanatumia nguvu kubwa kuyaelezea
 
Ulivyo ngumbaru, unafikiri hizo kodi Mwigulu kajipangia tu bila Samia kujua?
Hata kama Samia akijuwa, Mwigulu bado atabaki kuwa na lawama. Kujuwa kwa Samia hakumuondolei uhusika Mwigulu kwenye upangaji wa kodi hizo.
 
Njazia nyama kidogo kwenye hoja yako.
Kwa kuwa hili zoezi ni endelevu na kila siku watu wanafanya mihamala ya kifedha kwenye simu,kidogo tungeridhika kama huduma ya afya itakuwa BURE kwa kila mtanzania maana hii pesa itakuwa nyingi endapo takwimu hazitapindishwa.

Tanzania kuwa mwanasiasa ni kuwa na ujasiri wa kuongopa bila kujali watu wanajua au hawajui unachoongea.
Tuna wakati mgumu sana kama taifa kutoka hii hatua tuliyopo kama taifa endapo wanaotupangia sera ni watu kama akina mwigulu
 

Tozo za simu ulikuwa ni mpango wa Magufuli tena ulichelewa. Unakumbuka wakati tunalazimishwa kusajili line za simu? Lengo lilikuwa ni hii tozo. Kumbuka Zungu aligusia kodi ya Uzalendo Wakati Magufuli akiwa hai. Hivyo kwa sasa ni implementation.
 

Kama wako bungeni kwa wizi wa kura na hakuna lolote limewatokea, kipi kitawalazimisha hivi sasa kutekeleza kwa mujibu wa bajeti? Na hata wakitekeleza chochote nje ya bajeti, ni wabunge gani wanaweza kuibana serikali wakati zaidi ya nusu wako bungeni kwa maagizo ya Magufuli?
 
Hapo ndio pa kumbana sasa , kwenye mafuta tumeona ongezeko huko Tarura ila kwenye tozo sijajua mgawanyo ukoje maana kuna majibu ya jumla jumla tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…