Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mbwa ni hafai kabisa....Mwigulu is INEPT.
Mwigulu anataka U-Rais 2025 na ni Mwaribifu.
Mwigulu anashusha credit ya SSH kwakuwa ni mwanamke aonekane hawezi kuendesha nchi .
Mwigulu alukuwa ana -fumble tu pale TBC, mimi nlikuwa naandika hukumu huku namuangalia, watoto wakaniuliza anaongea nini nikakosa jibu.
Mwigulu analipwa 12m na mshahara wa uwaziri 7 m kwa mwezi ni karibu 20 milion na hajui kodi .
Mwigulu anatumia post-paid haina hayo makato.
Mwigulu anazungumza kadhia za kikomunisti kwenye nchi ya kibepari.
Mwigulu ni htari kwa taifa la badae.
Mwiguliu na zungu ni kitu kimoja na wapo kwenye timu Mwigulu 2025 ya kumuondoa SAMIA.
Foolish! Hivi watu kama wewe huwa kichwa munaweka wapi? Kwa hiyo Kenya waliposajili pia waliambiwa na Magufuli? Ongezeni ufahamu wa dunia.Tozo za simu ulikuwa ni mpango wa Magufuli tena ulichelewa. Unakumbuka wakati tunalazimishwa kusajili line za simu? Lengo lilikuwa ni hii tozo. Kumbuka Zungu aligusia kodi ya Uzalendo Wakati Magufuli akiwa hai. Hivyo kwa sasa ni implementation.
Nafurahia kulipa kodi ...huwa nasisitiza wakepwa kodi wanyooshwe.Wataisoma nambaaa eeeh wacha waisome namba kina jinga lao wakajua Chadema ndio walengwa kumbe wote tunakumbwa na hii kazia siku moja tutatia akili ili tuache kuchagua hovyohovyo
Kabisa mkuu jf ni darasa tosha sana. Hata uishie level gani ukiwa mpenzi wa jf lazima akili yako iimarike mara dufu.Huku anakuogopa sana kwakuwa kuna Vichwa 'Geniuses' wengi tena ambao hata hawana 'Doctorate' kama yake ya Mzumbe University na wengine wakiwa hata Vyuo Vikuu huko hawajafika na hawana mpango wa Kufika.
Umeongea ukweli mtupu..na ole wako uthubutu kuuliza hizi hela ziko wapi bajeti ijayo..utaambiwa kibaraka wa mabeberu ..sio mzalendoooo....Hizi pesa hazitajenga madarasa wala barabara, nchi imeshikwa pabaya ipo sehemu wanapotaka kupeleka hizi pesa.. Madarasa na barabara hazijaanza kujengwa leo na hatuwajahi fanyiwa haya mauzauza! Hizo barabara na madarasa ni propaganda tu ndio maana wanatumia nguvu kubwa kuyaelezea
Umeona wanavyotufanya wajinga .ukiuliza utapigwa sarakasi zisizo na kichwa Wala mguuuIpo hela ya ongezeko la mafuta ya taa toka kipindi cha kile cha kina Zitto Kabwe sijui inakwenda wapi maana iliongezwa bei iwe sawa na diesel kuogopa kuchakachua ipo Elfu moja na ushee hapo kwenye mafuta ya taa...
Acha kupanick we mtoto, zilikuwa na haraka gani wakati hata hivyo vitambulisho vya taifa mpaka leo watu wengi hawana? Nenda huko Kenya uone kama watu wanasajili hizo line bila kitambulisho kinachoeeleweka.Foolish! Hivi watu kama wewe huwa kichwa munaweka wapi? Kwa hiyo Kenya waliposajili pia waliambiwa na Magufuli? Ongezeni ufahamu wa dunia.
Umesoma kinachojadiliwa au unarukia tu! unachoeleza kinatofautiana nini au kinaongeza nini ktk maelezo hayo! Mpe pole MboweAcha kupanick we mtoto, zilikuwa na haraka gani wakati hata hivyo vitambulisho vya taifa mpaka leo watu wengi hawana? Nenda huko Kenya uone kama watu wanasajili hizo line bila kitambulisho kinachoeeleweka.
Katika kosa ambalo serikali yangu pendwa ya CCM imefanya ni Hili la miamala ya simu,serikali makini isingeweza kufanya jaribio hili la kutapeli raia wake.Yaani haiwezekani serikali itumie mitaji ya raia wake kuingiza mapato.katika ongezeko hilo wakala anageuka kuwa TRA kwani hapati chochote.Alaaniwe yule aliyeiba kura na kupitisha wawakilishi wasio na sifa.kama yupo hai laana ya mungu iwe juu yake na hata Kama amefariki mungu ampe adhabu Kali kaburini.haiwezekani wananchi wabebe gharama za kifahari za viongozi wao.Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma.
Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto.
Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko?
Kwenye Bajeti ya Afya sijaona ongezeko la kipekee au special kwa mwaka huu wa fedha unaloweza kusema litatokana na makato ya simu.
Mfano mwaka wa fedha uliopita kila jimbo lilipata zahanati 3. Je, mwaka huu wa fedha zitaingezeka na kuwa sita au zitabaki vilevile?
Kwenye bajeti sioni ongezeko lolote la bajeti ya Zahanati.
Pia sijaona fedha maalum eti kwa ajili ya mama na mtoto tofauti na ongezeko ambalo ni routine.
Kwa ufupi, Afya imesingiziwa tu hakuna ushahidi wa kibajeti unaoonesha kuwa tozo hizi zitaenda kuboresha afya. Kama nia ya kweli ipo basi fedha za tozo ziende moja kwa moja kwenye vituo vya huduma za afya.
MWIGULU PAMBANA NA HALI YAKO usisingizie afya!
Kaamua kumwadhibu SSH kwakuwa ni mwanamke, ili aonekane hafai hata kabla ya 2022, Mama chukua maoni ya watanzania , kila mtu anasema umechemka na ka -umaarufu kidogo ulikokuwa unaanza kiupata hakapo tena.
mjukuu wangu umenishinda.Mimi sikutulia.
Mimi ndio wale wastaafu ambao Magufuli alisema tunawashwawashwa
Mimi nadhani kama Kuna mchango wa Mwigulu kwenye bajeti hii ni mambo machache kwani VP ndio alikua Waziri wa fedha muda mchache kabla ya bunge la bajeti kuanza.
Na sidhani kama muda Mwigulu amekua waziri ulitosha kuandaa mambo yote yale.
Hizi tozo kama za simu hakuna namna analikwepa.
Wenzangu mtanisahihisha.
sema ni MKAKATI WA CCM baada ya kutumia fedha nyingi kununua wapinzani sasa wakahamia kwenye simu.Binafsi pia ninaamini hivi. Either alikuta mchakato unaendelea au ulikua tayari umeshakamilika. Kimsingi huu ulikua ni mkakati wa serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Nevertheless, haimaanishi kama Mh Mwigulu na wataalam wake wa Wizara hawana mapungufu katika hili.