Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

Tunakamuliwa kwa ulazima, ikiwa malisho yetu ni mimba mikavu ya jangwani isio na virutubisho!
 
Mwigulu hata angekuwa Prof najua uwezo hana kabisa Nchi inaangamia kwa kuwa na baadhi ya waamuzi uwezo wao wa kufikiri mema juu ya Nchi yao ni mdogo huyo milimtoa kitambo mno...
 
Kiasili mkatili, na mshangiliaji kwa watu kuumia, kimsingi makato sawa ila kiwango kimafikirisha! Pia sababu za makato ni kuwaongezea tu watendaji ulajj!
 
Ipo hela ya ongezeko la mafuta ya taa toka kipindi cha kile cha kina Zitto Kabwe sijui inakwenda wapi maana iliongezwa bei iwe sawa na diesel kuogopa kuchakachua ipo Elfu moja na ushee hapo kwenye mafuta ya taa...
 
Huyu mbwa ni hafai kabisa....

 
Tozo za simu ulikuwa ni mpango wa Magufuli tena ulichelewa. Unakumbuka wakati tunalazimishwa kusajili line za simu? Lengo lilikuwa ni hii tozo. Kumbuka Zungu aligusia kodi ya Uzalendo Wakati Magufuli akiwa hai. Hivyo kwa sasa ni implementation.
Foolish! Hivi watu kama wewe huwa kichwa munaweka wapi? Kwa hiyo Kenya waliposajili pia waliambiwa na Magufuli? Ongezeni ufahamu wa dunia.
 
Wataisoma nambaaa eeeh wacha waisome namba kina jinga lao wakajua Chadema ndio walengwa kumbe wote tunakumbwa na hii kazia siku moja tutatia akili ili tuache kuchagua hovyohovyo
Nafurahia kulipa kodi ...huwa nasisitiza wakepwa kodi wanyooshwe.
Sisi watumishi wa umma tulizoea kukatwa bila tax holidays yaani PAYE inaliwa juu kwa juu.
mwaka huu tax base imeongezeka lets share the burden
 
Huku anakuogopa sana kwakuwa kuna Vichwa 'Geniuses' wengi tena ambao hata hawana 'Doctorate' kama yake ya Mzumbe University na wengine wakiwa hata Vyuo Vikuu huko hawajafika na hawana mpango wa Kufika.
Kabisa mkuu jf ni darasa tosha sana. Hata uishie level gani ukiwa mpenzi wa jf lazima akili yako iimarike mara dufu.

Akija kujibu hoja humu siku hiyo hiyo atajua sio watz wote ni wajinga kama anavodhani.
 
Umeongea ukweli mtupu..na ole wako uthubutu kuuliza hizi hela ziko wapi bajeti ijayo..utaambiwa kibaraka wa mabeberu ..sio mzalendoooo....
 
Foolish! Hivi watu kama wewe huwa kichwa munaweka wapi? Kwa hiyo Kenya waliposajili pia waliambiwa na Magufuli? Ongezeni ufahamu wa dunia.
Acha kupanick we mtoto, zilikuwa na haraka gani wakati hata hivyo vitambulisho vya taifa mpaka leo watu wengi hawana? Nenda huko Kenya uone kama watu wanasajili hizo line bila kitambulisho kinachoeeleweka.
 
Acha kupanick we mtoto, zilikuwa na haraka gani wakati hata hivyo vitambulisho vya taifa mpaka leo watu wengi hawana? Nenda huko Kenya uone kama watu wanasajili hizo line bila kitambulisho kinachoeeleweka.
Umesoma kinachojadiliwa au unarukia tu! unachoeleza kinatofautiana nini au kinaongeza nini ktk maelezo hayo! Mpe pole Mbowe
 
Katika kosa ambalo serikali yangu pendwa ya CCM imefanya ni Hili la miamala ya simu,serikali makini isingeweza kufanya jaribio hili la kutapeli raia wake.Yaani haiwezekani serikali itumie mitaji ya raia wake kuingiza mapato.katika ongezeko hilo wakala anageuka kuwa TRA kwani hapati chochote.Alaaniwe yule aliyeiba kura na kupitisha wawakilishi wasio na sifa.kama yupo hai laana ya mungu iwe juu yake na hata Kama amefariki mungu ampe adhabu Kali kaburini.haiwezekani wananchi wabebe gharama za kifahari za viongozi wao.
 

Binafsi pia ninaamini hivi. Either alikuta mchakato unaendelea au ulikua tayari umeshakamilika. Kimsingi huu ulikua ni mkakati wa serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.

Nevertheless, haimaanishi kama Mh Mwigulu na wataalam wake wa Wizara hawana mapungufu katika hili.
 
sema ni MKAKATI WA CCM baada ya kutumia fedha nyingi kununua wapinzani sasa wakahamia kwenye simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…