Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Umeambiwa kuna kodi 56 tofauti, sasa wewe ndiyo hujui.Hujui uanchoongea hiyo kodi watu tulikuwa tunalipa wao wameongeza kitu kinachotwa tozo sio kodi! Katika hela wanayochukua sasa VAT imo ndani yake.
Mjinga sana weweMbona umeandika kama una hangover vile!! Uwe unajiongeza basi hata kidogo badala ya kujitoa ufahamu. Sisi tunalalamikia TOZO, na siyo KODI!
Kitambo tu Serikali inatoza kodi kwenye miamala ya simu na hata kwenye vocha! Kinacho lalamikiwa hapa ni kitendo cha Serikali kuweka TOZO kwenye mafuta, miamala ya simu na muda wa maongezi! Kwa kigezo cha kuboresha huduma za jamii, kana kambwa nchi haitozi kodi au haikopi!!
Huu upuuzi ndiyo Watanzania wengi tunaukataa. Sasa wewe unaandika kama vile umetoka kunywa Komoni! Hovyo kabisa.
"Wanyonge" walikuwa wanapigwa ganzi na kuvimbishwa vichwa wasijue kunachoendelea.Tuliambiwa nchi yetu ni tajiri kumbe ni utopolo tu
Tuliambiwa nchi yetu ni tajiri kumbe ni utopolo tu
Mkuu watu walijua mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.Tena ziongezwe ili tupate akili
CCM haina ndugu kila mtu ataipataMkuu watu walijua mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Walichekelea wafanyabiashara wakionewa na kukamuliwa kwa kodi zilizokuwa haramu na kubambikw kodi mufilisi.
Sasa kila mtu anatakiwa kulipa kodi bila maning'uniko.
LIPA KODI halafu kapange nyanya!wee umemisi kutukanwa muda mrefu hujatukanwa naona unahamu/unawashwa kutukanwa
Nakubaliana mkuu.Mkuu, watu hawalalamikii hizo tozo au kpdi, wanalalamikia kiwango kilichowekwa. kiwango ni kikubwa kuliko hata makato yanayofanywa na mtoa huduma. Tatizo ndio liko hapo. Hakuna aliyekataa kuilipa hiyo tozo/kodi - ila kiwango ndio tatizo. Wangeweza kuweka hata 50% tu ya makato ya mtoa huduma, kuwa ndio tozo/kodi ya serikali. Otherwise hizo MPESA/TIGO PESA na AIRTEL MONEY zitakufa natural death.