Kodi ya simu ni sawa. Kodi ni jukumu la kila Mtanzania

Kodi ya simu ni sawa. Kodi ni jukumu la kila Mtanzania

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.

Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.

Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika.

Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata senti tano!

Hizo tozo za simu zimekaa mahali pake kabisaaa!

Mh Zungu alilielezea kwa ufasaha bungeni.

Mwezi huu tu Serikali itakusanya TRILLIONS of money. TRILLIONS...
 
Mbona umeandika kama una hangover vile!! Uwe unajiongeza basi hata kidogo badala ya kujitoa ufahamu. Sisi tunalalamikia TOZO, na siyo KODI!

Kitambo tu Serikali inatoza kodi kwenye miamala ya simu na hata kwenye vocha! Kinacho lalamikiwa hapa ni kitendo cha Serikali kuweka TOZO kwenye mafuta, miamala ya simu na muda wa maongezi! Kwa kigezo cha kuboresha huduma za jamii, kana kambwa nchi haitozi kodi au haikopi!

Huu upuuzi ndiyo Watanzania wengi tunaukataa. Sasa wewe unaandika kama vile umetoka kunywa Komoni! Hovyo kabisa.
 
Hujui uanchoongea hiyo kodi watu tulikuwa tunalipa wao wameongeza kitu kinachotwa tozo sio kodi! Katika hela wanayochukua sasa VAT imo ndani yake.
Umeambiwa kuna kodi 56 tofauti, sasa wewe ndiyo hujui.
 
Mbona umeandika kama una hangover vile!! Uwe unajiongeza basi hata kidogo badala ya kujitoa ufahamu. Sisi tunalalamikia TOZO, na siyo KODI!

Kitambo tu Serikali inatoza kodi kwenye miamala ya simu na hata kwenye vocha! Kinacho lalamikiwa hapa ni kitendo cha Serikali kuweka TOZO kwenye mafuta, miamala ya simu na muda wa maongezi! Kwa kigezo cha kuboresha huduma za jamii, kana kambwa nchi haitozi kodi au haikopi!!

Huu upuuzi ndiyo Watanzania wengi tunaukataa. Sasa wewe unaandika kama vile umetoka kunywa Komoni! Hovyo kabisa.
Mjinga sana wewe
try to extrapolate your thinking.
Sasa niambie hiyo TOZO inaenda kutumbukizwa baharini?
THINK MAN, THINK!
 
Tena ziongezwe ili tupate akili
Mkuu watu walijua mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.

Walichekelea wafanyabiashara wakionewa na kukamuliwa kwa kodi zilizokuwa haramu na kubambikw kodi mufilisi.
Sasa kila mtu anatakiwa kulipa kodi bila maning'uniko.
 
CCM haina ndugu kila mtu ataipata
 
Mkuu, watu hawalalamikii hizo tozo au kpdi, wanalalamikia kiwango kilichowekwa. kiwango ni kikubwa kuliko hata makato yanayofanywa na mtoa huduma. Tatizo ndio liko hapo. Hakuna aliyekataa kuilipa hiyo tozo/kodi - ila kiwango ndio tatizo. Wangeweza kuweka hata 50% tu ya makato ya mtoa huduma, kuwa ndio tozo/kodi ya serikali. Otherwise hizo MPESA/TIGO PESA na AIRTEL MONEY zitakufa natural death.
 
wee umemisi kutukanwa muda mrefu hujatukanwa naona unahamu/unawashwa kutukanwa
 
Mkuu, watu hawalalamikii hizo tozo au kpdi, wanalalamikia kiwango kilichowekwa. kiwango ni kikubwa kuliko hata makato yanayofanywa na mtoa huduma. Tatizo ndio liko hapo. Hakuna aliyekataa kuilipa hiyo tozo/kodi - ila kiwango ndio tatizo. Wangeweza kuweka hata 50% tu ya makato ya mtoa huduma, kuwa ndio tozo/kodi ya serikali. Otherwise hizo MPESA/TIGO PESA na AIRTEL MONEY zitakufa natural death.
Nakubaliana mkuu.

Ila kuna wanaofikiri kodi zinatakiwa kulipwa na watu fulani tu.

Hawana hata mizania kama ulivyoliweka vizuri.
 
Je wamelifikiria nje ya box maana wakidhani wao Wana akili watz Wana akili kuwazidi.

Watahamasisha watu kutumia mawakala kuhamishiana float hii itapelekea hata hicho wakipatacho kukikosa kabisa
 
Back
Top Bottom