Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

Hio bei ya kwenye website ya TRA wala usishtuke nayo kabisa. Yangu walitaka 80K nikaishia kulipa 20K Tanzania yetu sote.

Ngoja nipaze sauti DP world wasipewe hii bandari sisi wajanja hatuwataki hao.
 
Uchakavu mzee, unataka bongo iwe dampo la magari old used?

Wanafanya hivo sababu hapo unalipia pia kutuchafulia mazingira
 
You need to be smart kwenye kodi,

Example ungenunua gari ya mwaka 2013 au 2014 then bei ingekuwa sawa na ukiyolipia kwenye gari ya 2011.

Kwa maana kodi ingepungua halafu gharama ya gari ingeongezeka ungekuwa umebaki na the same price, ika gari lingekuwa lina features nyingi zaidi ya hiyo uliyooagiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…