Kadri siku zinavhoenda naona jamaa waliona mbaliKwa
Wale waliosema bora uzaliwe mbwa ulaya kuliko binadamu Afrika huenda wakawa kweli nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadri siku zinavhoenda naona jamaa waliona mbaliKwa
Wale waliosema bora uzaliwe mbwa ulaya kuliko binadamu Afrika huenda wakawa kweli nini?
Mkuu hio website yao ipo sahihi isipokuwa ukiwa mtoto wa mjini unazijua njia za kupita na kupata punguzoSo the TRA website is fake au shida ni nini? Lengo la hizi government websites ni kutoa taarifa sahihi kabisa kwa umma, short of that zitakuwa na faida gani???
Hata mimi namuunga mkono una akili finyu.Tatizo hujui madhara yanayoletwa na moshi kutoka kwenye engine chakavu.
Af miaka michache baadae mnaanza kulalamika ukame, mara mvua hazinyeshi wakati tukiwaambia mlikua mnatuita tuna akili finyu, sawa umeshinda.
Sasa kama kodi inazidi bei ya kununua gari au zinalingana. Kuna faida gani ya kuishi afrika? Nchi za Afrika lazima ziwe masikini miaka nenda rudi kwasababu ya kodi.Kadri siku zinavhoenda naona jamaa waliona mbali
Unatia huruma kweli.Hata mimi namuunga mkono una akili finyu.
Athari ya mazingira haisababishwi na hivyo tugari bali utolewaji wa Carbon kwenye Industrial scale.
Ambayo nchi kama bongo ni insignificant kabisa.
Nenda kazungumze na nchi kama India, China na Marekani ambao wanatumia coal kuzalisha umeme na ndio wanaofanya contribution kubwa kwenye uchafuzi wa mazingira.
Ushuru mkubwa kwenye magari ni wizi wa mchana kwa state.
Bongo ni low income kumbuka
Kwa gharama hizi ndio maana baadhi hutumia udanganyifu kukwepa gharama kama hiziMfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana...
Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..?
Nimeagiza gari yangu [Land Cruiser Prado TRJ150 ya mwaka 2011 toka Japan juzi kati hapa kupitia kampuni ya Be Forward nipokelekee Mwanza kupitia bandari ya DSM..
Kodi na gharama zingine kupitia TRA yetu ni kubwa kuliko bei niliyonunulia na kuisafirisha hadi Mwanza...!!
View attachment 2667627
Gari yenyewe hiyo ☝️☝️☝️☝️pamoja na total price yake [C&F Mwanza via bandari ya DSM]
View attachment 2667632
Hizo☝️☝️☝️☝️ ndo kodi za TRA. Ni kubwa kuliko bei ya gari yenyewe. Kodi inatozwa hadi kwenye ZERO income...!!
...Watakuambia Dubai ikija Badarini Bei itapungua !! [emoji35][emoji35]Wanakuja wajuaji wakupe muongozo. Kiufupi kama unaweza kununua punda ww nunua akuzungushe mjini magari tuyaache tu.
Tunataka usitumie pesa za kununua mitumba ya magari ambayo hayazalishiMfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana...
Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..?
Nimeagiza gari yangu [Land Cruiser Prado TRJ150 ya mwaka 2011 toka Japan juzi kati hapa kupitia kampuni ya Be Forward nipokelekee Mwanza kupitia bandari ya DSM..
Kodi na gharama zingine kupitia TRA yetu ni kubwa kuliko bei niliyonunulia na kuisafirisha hadi Mwanza...!!
View attachment 2667627
Gari yenyewe hiyo ☝️☝️☝️☝️pamoja na total price yake [C&F Mwanza via bandari ya DSM]
View attachment 2667632
Hizo☝️☝️☝️☝️ ndo kodi za TRA. Ni kubwa kuliko bei ya gari yenyewe. Kodi inatozwa hadi kwenye ZERO income...!!
🤣🤣🤣Halafu wana tegemea bandari iingize pesa.
...Sijajua Kwa Nini kama Watanzania Milioni 62 tunaukubali UJINGA huu kutoka Kwa Watu tuliowaweka madakani wenyewe! TUAMKENI TUJITETEE WENYEWE.Serikali ya majizi huweka kodi umiza kwa raia lakini kwao kila kitu kina msamaha wa kodi. Wakiagiza gari haitozwi kodi, kuna wengine hadi mishahara yao ya kujipimia haina paye ila mshahara kibaba wa mwalimu una paye na makato mengine kibao
Environmental pollution is not a new phenomenon, yet it remains the world's greatest problem facing humanity, and the leading environmental causes of morbidity and mortality. Man's activities through urbanization, industrialization, mining, and exploration are at the forefront of global environmental pollution.Unatia huruma kweli.
Yaani unajidai unajua kumbe hamna kitu.
NOx (Nitrogen oxides) zinazotoka kwenye magari ni hatari zaidi hata ya Carbon dioxide,
Eti 'tugari', we zero kabisa, kama hivo kwa nini basi magari yanafanyiwa emission tests? Kuna models huendeshi kabisa nchi za wanaojitambua sababu emission rating yake haijakidhi viwango.
Akili za vijiweni shida tupu.
Kwani wasifikirie kwa namna ya kuongeza mapato kutoka na matumizi ya gari hapa nchini yanayo jirudia rudia kutoka kwa mmiliki wagari hilo. Mathalan:- mafuta, oil, vipuri,............ Nb kumiliki na kutumia gari unawezesha biashara nyingine ziendelee.Huo ndio utaratibu wa nchi hawapendi wananchi tujidai ktk nchi yetu.
Sawa, nimekubali "tuvigari" hatuchafui mazingiratransportation
Labda kama tiharahei nao watauzwa kwa dp...Watakuambia Dubai ikija Badarini Bei itapungua !! [emoji35][emoji35]
Watanzania wa kawaida ni manamba ndani ya Tanzania.Huo ndio utaratibu wa nchi hawapendi wananchi tujidai ktk nchi yetu.