Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Ndo maana yanapeana uongozi ukoo kwa ukoo ili kuhakikisha sisi walala hoi hatutoboiKodi nyingi zinaenda kujenga familia za CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana yanapeana uongozi ukoo kwa ukoo ili kuhakikisha sisi walala hoi hatutoboiKodi nyingi zinaenda kujenga familia za CCM
Wanayapanda, wanapiga deals ndefu, bado gari hizo hizo wanaamua kuuziana.. nchi hii ina wenyewe mzee.Na wao magari mazuri wanayapanda kwa ufisadi tuu, wakiwa nje ya system huku mtaani nao wanahamia kwenye Rav4, Vanguard mpaka vi corolla wengine..
Ili kuzobiti kila mtu asiwe na gari .. Kuwe na RANK baina ya mwenye nacho na ambaye hana yaani mlala hoiMfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana...
Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..?
Nimeagiza gari yangu [Land Cruiser Prado TRJ150 ya mwaka 2011 toka Japan juzi kati hapa kupitia kampuni ya Be Forward nipokelekee Mwanza kupitia bandari ya DSM..
Kodi na gharama zingine kupitia TRA yetu ni kubwa kuliko bei niliyonunulia na kuisafirisha hadi Mwanza...!!
View attachment 2667627
Gari yenyewe hiyo ☝️☝️☝️☝️pamoja na total price yake [C&F Mwanza via bandari ya DSM]
View attachment 2667632
Hizo☝️☝️☝️☝️ ndo kodi za TRA. Ni kubwa kuliko bei ya gari yenyewe. Kodi inatozwa hadi kwenye ZERO income...!!
Kwani Kuna ubaya gani wakati Maduka ya Spea yapoUchakavu mzee, unataka bongo iwe dampo la magari old used?
Wanafanya hivo sababu hapo unalipia pia kutuchafulia mazingira
Niliagiza Nissan dualis 2015 total tax 11 millionSarekali inaonea wivu wananchi wake!
Inakuwaje kodi iwe kubwa kuliko bei ya manunuzi!
Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana...
Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..?
Nimeagiza gari yangu [Land Cruiser Prado TRJ150 ya mwaka 2011 toka Japan juzi kati hapa kupitia kampuni ya Be Forward nipokelekee Mwanza kupitia bandari ya DSM..
Kodi na gharama zingine kupitia TRA yetu ni kubwa kuliko bei niliyonunulia na kuisafirisha hadi Mwanza...!!
View attachment 2667627
Gari yenyewe hiyo [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]pamoja na total price yake [C&F Mwanza via bandari ya DSM]
View attachment 2667632
Hizo[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516] ndo kodi za TRA. Ni kubwa kuliko bei ya gari yenyewe. Kodi inatozwa hadi kwenye ZERO income...!!
Ndio itakua hivyoKama itakua hv DP World [emoji289] Hoyeee Mama Samia Safiiii
Naunga mkono hojaaNdio itakua hivyo
You can't be serious mkuuDawa ni kutafuta kapinda kadogo unakatunza kakikua kanakua usafiri
Wamlipe nani wakati ndio wanufaika wenyeweWao kwani wanalipa kodi
Ova
Ni nchi ya hovyo kweli, lakini kujiua ni maamuzi ya hovyo zaidiMkuu suluhisho ni moja tu kujiua kucommit suicide kuepukana na na huu uonevu.
Nchi ya hovyo sana hii
I don't get you...You need to be smart kwenye kodi,
Example ungenunua gari ya mwaka 2013 au 2014 then bei ingekuwa sawa na ukiyolipia kwenye gari ya 2011.
Kwa maana kodi ingepungua halafu gharama ya gari ingeongezeka ungekuwa umebaki na the same price, ika gari lingekuwa lina features nyingi zaidi ya hiyo uliyooagiza.
Sema kwa maendeleo ya wakubwaLipa ushuru na kodi kwa maendeleo ya nchi yako.
Furaha yao nikuona watanzania wakiishi kama mandondocha na wao wakibarizi kwenye mav8, huku wakikumwagia matope.Huo ndio utaratibu wa nchi hawapendi wananchi tujidai ktk nchi yetu.
Tupambane Katiba mpya ipatikane, ili kazi ya KUWAFURUSHA hawa walanguzi wa CCM iwe rahisiGari nzuri wapande wao, sisi tupande bodaboda tu.
Huku gari ni anasa, internet ni anasa.. nchi ya hovyo kabisa.
Tatizo mnataka mgari ili mkatongozee mademu.Viongozi wetu wanapenda wao ndo wawe na magari peke yao
Ukiwa huna gari hutongozi?Tatizo mnataka mgari ili mkatongozee mademu.