Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

Kumiliki gari Tanganyika ni ghali sana nashangaa Zenji gari na Vespa bei chini hata waiter anamiliki gari.
Halafu anatokea mtu anasema jamhuri ya muungano wakati wazenji maisha/kodi ni mdebwedo.
 
Serikali ya majizi huweka kodi umiza kwa raia lakini kwao kila kitu kina msamaha wa kodi. Wakiagiza gari haitozwi kodi, kuna wengine hadi mishahara yao ya kujipimia haina paye ila mshahara kibaba wa mwalimu una paye na makato mengine kibao
Hivi haiwezekani wauzaji wa hayo magari wakaja na policy ya kukataa kodi kwenye uuzwaji wa magari yao walau isizidi 30% ya value ya gari?? Yaani wakigundua kwamba kuna nchi zinaweka ushuru mkubwa zaidi ya kiwango fulani walichokubaliana then wawagomee kabisa kuwauzia magari yao??? This is too much aiseeee kodi inazidi manunuzi ya gari as if TRA ni manufacturer??
 
Hio bei ya kwenye website ya TRA wala usishtuke nayo kabisa. Yangu walitaka 80K nikaishia kulipa 20K Tanzania yetu sote.

Ngoja nipaze sauti DP world wasipewe hii bandari sisi wajanja hatuwataki hao.
So the TRA website is fake au shida ni nini? Lengo la hizi government websites ni kutoa taarifa sahihi kabisa kwa umma, short of that zitakuwa na faida gani???
 
Mbona hiyo ni toka kitambo inafahamika,ukiagiza gari mitandaoni chukua price ya gari utakayowalipa hao wajapan then izidishe mara mbili,ndo unapata gharama halisi ya gari toka Japan hadi kuipokea bandarin dsm🙏

Vitu kama hivi halafu wanajiuza kwanini bandari faida ni ndogo.
 
kwanza nianze kwa kukusahihisha. Hakuna kodi ya TRA bali kodi zote zipo chini ya sheria iliyopitishwa bungeni.
Kama umefatilia bajeti juzi kuanzia julai ukiingiza gari zaidi ya miaka 5 toka limetengenezwa utakutana na uchakavu sasa usije sema ni tra tena.wengi tumekuwa hatufatilii bajeti na mwisho tunawasema hawa zakayo bure. hawa wamepewa tu sheria na taratibu za kukusanya.hiyo gari prado tayari ukiangalia imezidi miaka 10 toka imetengenezwa kwa maana hiyo inakutana na 30 uchakavu
 
Hoja ya kipumbavu kabisa hii, na huwa inatolewa na wenye akili finyu kabisa kama wewe...
Tatizo hujui madhara yanayoletwa na moshi kutoka kwenye engine chakavu.

Af miaka michache baadae mnaanza kulalamika ukame, mara mvua hazinyeshi wakati tukiwaambia mlikua mnatuita tuna akili finyu, sawa umeshinda.
 
Kodi kubwa kila sehem yaan sijui wanazaza nn, nilienda ofc kwa jamaa ambae alikuwa ameagiza bia za thamani ya milion 12 ktk zile pia alikuwa amepewa risiti ya mashine mbili risiti moja ilikuwa nyenye dhamani ya sh 1,600,000 , kodi ilikuaa karubia kali 2 ,sasa nikawaza bia za milioni moja la kazi 6 ukamtoze mtu kodi sh laki mbili yeye anapata faida sh ngapi na,kupitia hivi jamaa alikuwa amekwepa kodi kuwa sana kwa maana mziho wa milioni 12 ametoa risiti mbili tu na thamani ya risiti haizid milioni 4 kwa zote mbili
 
Mkuu suluhisho ni moja tu kujiua kucommit suicide kuepukana na na huu uonevu.

Nchi ya hovyo sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…