Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

Na wao magari mazuri wanayapanda kwa ufisadi tuu, wakiwa nje ya system huku mtaani nao wanahamia kwenye Rav4, Vanguard mpaka vi corolla wengine..
Wanayapanda, wanapiga deals ndefu, bado gari hizo hizo wanaamua kuuziana.. nchi hii ina wenyewe mzee.
 
Ili kuzobiti kila mtu asiwe na gari .. Kuwe na RANK baina ya mwenye nacho na ambaye hana yaani mlala hoi
 

Lipa ushuru na kodi kwa maendeleo ya nchi yako.
 
Ni kana kwamba TRA na wao wameshiriki kulitengeneza hilo gari..........maana wanalamba pesa zaidi ya mwenye gari.
 
I don't get you...

What exactly do you mean, that, I have to be smart on tax issues?

A m I not smart?

Can you put it more clear in a simple and understandable language, please?
 
Huo ndio utaratibu wa nchi hawapendi wananchi tujidai ktk nchi yetu.
Furaha yao nikuona watanzania wakiishi kama mandondocha na wao wakibarizi kwenye mav8, huku wakikumwagia matope.
 

Hapo ndo ulipoliwa. Acha kununua gari ambayo inazidi miaka 7 toka utengenezaji wake. Maana gharama utakayoinunua (kitonga) Utailipia TRA kwa Kodi ya uchakavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…