Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

...Sijajua Kwa Nini kama Watanzania Milioni 62 tunaukubali UJINGA huu kutoka Kwa Watu tuliowaweka madakani wenyewe! TUAMKENI TUJITETEE WENYEWE.
HATUNA MJOMBA WA KUTUTETEA. TUACHE KULIA LIA MITANDAONI, BALI TUCHUE HATUA WENYEWE. TUNAWEZA
Hakiks Kuna haha kubwa ya sisi Watanzania kuonesha hasira yetu juu ya kikundi hiki Cha majizi na kisichojali wananchi ambao bila wao hakuna Taifa Tena.
 
🥺
 
Ila ukweli TRA tunawaonea tu. Wao wameelekezwa hivyo. Leo hii kungeundwa sheria ya kutolipa ushuru wa kuagiza gari, wangetekeleza. Wote tunajua nani anahusika, ila tunajikausha. Wabunge... wa CCM.
Ukweli mtupu
 
Vijana wa kitanzania badala ya kujiuliza na kupata ufafanuzi juu ya ishu Kama hizi wapo kukomaa X ifutwe. Ukitaka kununua Gari hii nchi unajikuta unawaza uharamu wa kulimiliki kwa kuanzia kulitoa Bandarini.
Ni watu ndio hawa hawa binadamu ndio wameshikilia taratibu za kukomoa binadamu wenzao ndani ya nchi 1. Mnunuzi wa Gari unakuwa treated Kama jitu moja lenye pesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…